Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,861
- 8,525
hahaa axee we ni mjinga..kwahyo mwanangu chato ndo foleni zao...?utani huu wa chato mi simooo
hahaa axee we ni mjinga..kwahyo mwanangu chato ndo foleni zao...?utani huu wa chato mi simooo
duh punda wanavuka kwe mataa!
duh punda wanavuka kwe mataa!
yani kama hapo ndo chato..basi ni ungese kujenga kiwanja cha ndege uko....ata magari yenyewe hakuna uko inavoonekanaHabari ndiyo hiyo Mkuu gari sijui tatu wanawekewa traffic lights!!! Wasafiri wenye uwezo wa kugharamia safari za ndege hawafiki 20 kwa mwaka mzima wanachota billions kufanya ubadhirifu mkubwa.
Huu ni ubadhilifu wa rasilimali za taifa. Ni sawa na uhujumi uchumi tu,
Sasa unapeleka uwanja wa ndege kwenye migodi ili muweze kuiba madini vizuri au?Kinawauma nini Chato kwani hakustahili kujengwa uwanja wa ndege? Tatizo nyinyi watu wa Moshi Na Arusha mnataka vitu vizuri viwekwe kwenu tu kwani sehemu zingine kama GEITA, Kagera, Mwanza,Morogoro, n.k hazistahili kuwa na vitu vizuri? Tatizo mlizoea mawaziri wakuu kutoka kwenu mfano Sokoine, Msuya, Sumaye, Lowasa ndo maana vitu vingi mkawamnapendelewa mkajiona kila kitu kinafaa kupelekwa kwenu.Mkoa wa Geita una madini mengi sana lakini upo nyuma sana kimaendeleo .Hoja ya kwamba hakuna vivutio Chato/GEITA ni HOJA dhaifu na ni hoja isiyowatakia mema wananchi wa GEITA , kuna vivutio kama Hifadhi ya Lubondo ambayo ni hifadhi kubwa kuliko zote ziwa victoria, Ziwa Victoria lenyewe, Mgodi mkubwa kuliko yote Tanzania na wa Tatu Afrika, Pori tengefu la Runzewe n.k. Kwa wanaosema kuwa uwanja wa Chato hauna maana pengine ni Chuki dhidi ya watu Wa Chato Na GEITA Kwa ujumla.
Kipindi hiki imekula kwenu kama hamjui.Sasa unapeleka uwanja wa ndege kwenye migodi ili muweze kuiba madini vizuri au?
Huko Geita na Chato peleka majembe, rato na sururu watu walime na kuchimba mashimo.
Arusha na moshi jenga viwanja vikubwa vya ndege ilie waje wazungu kukutana na sisi raia tuliobarikiwa kukomboleka ki fikra kisha sisi tuwapeleke kutizama vivutio mahsusi katika kanda hii na mwishowe tuwaage wakirejea kwao
kuna hadi traffic lights wanapishana punda tu,kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 walikuwa wakazi 17,000 tuyani kama hapo ndo chato..basi ni ungese kujenga kiwanja cha ndege uko....ata magari yenyewe hakuna uko inavoonekana
Itakula kwetu.. mkija kuhamisha vivutio mvipeleke Chato.Kipindi hiki imekula kwenu kama hamjui.
Lete maphoto mengi ya Chato kuonyesha inavyong'aa ili kuwakata ngebe hawa wanaooonyesha punda tu, vinginevyo tutaamini hizo picha tunazoziona,Mataa na lami chato vimewekwa toka kipindi cha kikwete ina maana tulikua na marais watatu ndani ya nchi?...
Hapo kwenye hilo jengo chumba cha mwisho ni hoteli kali kuliko zote hapo chato.