Wenye picha za Mji wa Chato wekeni hapa

Wenye picha za Mji wa Chato wekeni hapa

COTKjTgWoAE3vVj.jpeg
 
Hello Gentleman and ladies,
Naombeni wenye picha za mji wa Chato atupie picha please .Sijabahatika kufika hilo Chato. Uko kama Arusha au Moshi Kilimanjaro ?
Tupieni picha niweze au tuweze kuona please.
Umekosea kidogo CHATO haijawa Mji ni kijiji/ kata/wilaya na sasa pengine mkoa wenye mwendokasi wa maendeleo!!!!!!!
 
Kinawauma nini Chato kwani hakustahili kujengwa uwanja wa ndege? Tatizo nyinyi watu wa Moshi Na Arusha mnataka vitu vizuri viwekwe kwenu tu kwani sehemu zingine kama GEITA, Kagera, Mwanza,Morogoro, n.k hazistahili kuwa na vitu vizuri? Tatizo mlizoea mawaziri wakuu kutoka kwenu mfano Sokoine, Msuya, Sumaye, Lowasa ndo maana vitu vingi mkawamnapendelewa mkajiona kila kitu kinafaa kupelekwa kwenu.Mkoa wa Geita una madini mengi sana lakini upo nyuma sana kimaendeleo .Hoja ya kwamba hakuna vivutio Chato/GEITA ni HOJA dhaifu na ni hoja isiyowatakia mema wananchi wa GEITA , kuna vivutio kama Hifadhi ya Lubondo ambayo ni hifadhi kubwa kuliko zote ziwa victoria, Ziwa Victoria lenyewe, Mgodi mkubwa kuliko yote Tanzania na wa Tatu Afrika, Pori tengefu la Runzewe n.k. Kwa wanaosema kuwa uwanja wa Chato hauna maana pengine ni Chuki dhidi ya watu Wa Chato Na GEITA Kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom