Wenye pepo la ngono huombewa hivi

Wenye pepo la ngono huombewa hivi

quimby_joey

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
391
Reaction score
175
MAOMBEZI.jpg
Kila pepo huguswa mahala lilipo
 
kazi ipo. Ujasiriamali sio Mchezo. Lazima uwe Mbunifu.
 
Kama inawezekana kuloga hayo maeneo basi na tuweze kuyaombea...hahaha!!!
 
Haliwezi kumtoka huyo na uzuri wake huo. Ona, mtu kalala chali halafu bado mikuki miwili inachoma anga! Thubutuuuuu!
 
Tuwekee kapicha wakati anaombea mwanaume mwenye pepo kama hilo.
 
Mmm jamani hebu hawa wanaofanya haya waache kumchezea mungu kiasi hiki hiv siku ya hukumu tutajbu nin??
 
Halafu utashangaa jinsi watu wanavyovuliwa kama dagaa kauzu wa Mwanza..

Halafu watu wengi wanaoenda kuombewa ili kutolewa mapepo ni wale ambao mahali fulani katika maisha yao mambo yanaenda ndivyo sivyo!
 
Back
Top Bottom