Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
mtoa post kama ulidhani utamkomoa mwenye nyumba wako,jua we we ndiye utakayeumia tu!/
kabisa mkuu na hajui hata gharama za kupangaWatu kama hawa sio wakuwapa nchi,anakurupuka tu without to assimilate the situation he just implement, idiot, miss chagga huyu atakuwa anakaa kwa wazazi wake,
wenye nyumba tayari wanalipa kodi za ardhi, sio kwamba wanapata kipato bila kulipa kodi!
Hatari xana watu mnaharaka ya kuelewa mm nmemuelewa jaamaa vizur tu,Ni kweli kuna kodi ya ardhi na nilazima wananchi walipe,lakin kwann jumba ya kupangsha mwenye Nyumba alipa maana yake Nyumba yake kaifanya biashara xo kodi anayolipa pale ni ya biashara na si vinginevyoo.
Havina uhusiano. Hata mwenye nyumba ambaye hapangishi analipa kodi ya ardhi. Hapa inazungumziwa pato la kupangisha nyumba. Kila pato lazima likatwe kodi. Hakuna namna nyingine.
wenye nyumba tayari wanalipa kodi za ardhi, sio kwamba wanapata kipato bila kulipa kodi!
Havina uhusiano. Hata mwenye nyumba ambaye hapangishi analipa kodi ya ardhi. Hapa inazungumziwa pato la kupangisha nyumba. Kila pato lazima likatwe kodi. Hakuna namna nyingine.
WanalipaNi heri umuelimishe huyu jamaa, hajuwi hata hilo kama kuna land rent,ni ujinga tu analeta, hajosoma hata uchumi amabapo ungemsaidia,.
unaijua property tax inavyofanyiwa evaluation au unajua kodi ya ardhi tu. Walete tu tutapandisha kodi ya nyumba huwezi hama
Natoka nje ya mada....
Humo ulipoweka "x" ungeandika "s" ungepungua kilo???
Maadamu kile anachopata kwa mwezi kinazidi kima cha chini cha mshahara lazima alipe kodi kwa sababu ana kipato!!!