Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Wewe unaona tu kipato anachopata baada ya kujenga, Unajua ni kiasi gani alitumia kuwekeza hapo?
Unajua ni muda gani atachukua arudishe pesa ya ujenzi ndio aanze kupata faida?
Au unataka atumie mtaji kulipa Kodi?
Ni matakwa ya sheria tu. Labda tuombe ibadilishwe.