Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
Kweli akili ni nywele kila mtu Ana zakeKwaiyo sasahivi na wewe ni mchawi???
Soma kichwa cha habari nduguWewe kwenu wapi? nahuko wenyenyumba ni washirikinapia? ama ni hapsa dar tu.
Usije kuwa ulijisahau ukapupu kitandani alafu unamsingizia mwenye nyumba mkuuNakuja na Uzi nikiwa na uhakika nimeshapanga nyumba mbali mbali hapa dar kabla ya kuwa na kujenga yangu.
Ila katika nyumba ambalo nilipanga kama kinondoni mkwajuni ,studio ,Mbezi Africana,tango bovu n.k kila nyumba INA kituko chake na bahati mbaya wenye nyumba wanajua hivyo vitu kwa mfano kuna nyumba niliwahi kukaa mitaa ya kinondoni niliondoka asubuhi kwenda job nikafunga kurudi jiona nikakuta mavi kitandani.
Nyingine ilikuwa kila siku siku ukirudi unatakuta wenye nyumba unatakuta wamevunja Nazi getini zipo ambazo nilikuwa ukilala usiku unapapaswa papaswa mtu humuoni au unaamka umechanjwa chale za mgongoni ukiuliza wapangaji wenzako na wao hivyo hivyo lakini huwezi kuona kuona mwenye nyumba kafanyiwa hivyo au analalamika .
Na zipo nyumba ukipanga hata meza haununui zipo nyingine mwenye nyumba akiona hakuwezi labda unasali sana atakwambia uhame.
Nilichogundua ndio wenye nyumba wengi akishajenga nyumba anaridhika anaemdelekeza ulozi
Source : mie mwenyewe
Acha uwoga hizo ni mbinu zetu sisi wenye nyumba kwa sababu unalipa kodi ya mwaka alafu nafanya fitna ndani ya miez miwili unahama anakuja mwigine na yeye wembe ni uleule tukale wapi sasa?Nakuja na Uzi nikiwa na uhakika nimeshapanga nyumba mbali mbali hapa dar kabla ya kuwa na kujenga yangu.
Ila katika nyumba ambalo nilipanga kama kinondoni mkwajuni ,studio ,Mbezi Africana,tango bovu n.k kila nyumba INA kituko chake na bahati mbaya wenye nyumba wanajua hivyo vitu kwa mfano kuna nyumba niliwahi kukaa mitaa ya kinondoni niliondoka asubuhi kwenda job nikafunga kurudi jiona nikakuta mavi kitandani.
Nyingine ilikuwa kila siku siku ukirudi unatakuta wenye nyumba unatakuta wamevunja Nazi getini zipo ambazo nilikuwa ukilala usiku unapapaswa papaswa mtu humuoni au unaamka umechanjwa chale za mgongoni ukiuliza wapangaji wenzako na wao hivyo hivyo lakini huwezi kuona kuona mwenye nyumba kafanyiwa hivyo au analalamika .
Na zipo nyumba ukipanga hata meza haununui zipo nyingine mwenye nyumba akiona hakuwezi labda unasali sana atakwambia uhame.
Nilichogundua ndio wenye nyumba wengi akishajenga nyumba anaridhika anaemdelekeza ulozi
Source : mie mwenyewe
kuna nyumba niliwahi kukaa mitaa ya kinondoni niliondoka asubuhi kwenda job nikafunga kurudi jiona nikakuta mavi kitandani.
haujitambui wwJifunze kuongopea wakubwa
Usije kuwa ulijisahau ukapupu kitandani alafu unamsingizia mwenye nyumba mkuu[/QUOTE
Sio kweli mkuuUsije kuwa ulijisahau ukapupu kitandani alafu unamsingizia mwenye nyumba mkuu
Ww kweli kula kulala kipato kinaingije hapaSio Tatizo Lako Tatizo Ni Kipato chako Kidogo Tu
Kaka ww unaamini katika ninimh. hizi ushuhuda naziona nyingi hapA ila tatizo siamini ushirikina, wala uwepo wa Mungu
naishi dar
Umenifurahisha sana katika hii nukusi "Nyingine ilikuwa kila siku siku ukirudi unatakuta wenye nyumba unatakuta wamevunja Nazi getini zipo ambazo nilikuwa ukilala usiku unapapaswa papaswa mtu humuoni au unaamka umechanjwa chale za mgongoni ukiuliza"Nakuja na Uzi nikiwa na uhakika nimeshapanga nyumba mbali mbali hapa dar kabla ya kuwa na kujenga yangu.