Wenye nguvu zao hawa....

Huyu mzee mbna kama aliyeninyang'anyia girl wangu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
.......yani mie naomba kweli nisizeeke sijui!!! maana nikiona hiyo ngozi ilivyojikunja nanywea!!!
 
mzee mwenye nguvu zake huyu...
941546_503518996385902_138854912_n.jpg

Hiyo type ya demu mumeiona!! sidhani kama kuna mapenzi hapo!! hapo mdada anaweka password tu aweze ku-withdraw vijisenti
 
.......yani mie naomba kweli nisizeeke sijui!!! maana nikiona hiyo ngozi ilivyojikunja nanywea!!!
Hauta ona tofauti, watu ndio watakuona mzee, ila wewe utajiona uko poa tu, na utaendelea kuponda raha, mpaka utakapoanza kushindwa kutembea, then utatambua, you are now finished..
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom