Safari ya mafanikio inaanzia hapa

Themoneyhollic

Senior Member
Dec 22, 2022
120
28
Ndani ya Mwaka 2024, Zijue Fursa Zifuatazo zenye uwezo wa kukuingizia kuanzia 1,000,000 kwa mwezi na kuendelea kutokana na juhudi zako namaanisha hata 50,000,000 kwa mwezi!!



Happy New Year 2024, Rafiki Mpendwa

Je, unataka kupata Ujuzi wenye UHAKIKA wa Kukuingizia Kuanzia Tshs 1,000,000+ Kila mwezi Mtandaoni…na hata Kukulipa Maisha yako yote bila kutegemea Ajira?

Kama umejibu ndio basi huu ndio ujumbe muhimu zaidi utakaosoma leo

Na ndani ya sekunde 60 zijazo nitakwambia ni kwanini...
 
Happy New Year

Happy New Year Fellow Hustlers:

Ndani ya Mwaka 2024, Zijue Fursa Zifuatazo zenye uwezo wa kukuingizia kuanzia 1,000,000 kwa mwezi na kuendelea kutokana na juhudi zako namaanisha hata 50,000,000 kwa mwezi

Kwa mimi so far naingiza zaidi ya 10,000,000 kwa mwezi na Sina maana ya kubrag ila nmeona niwape huu mchongo natumaini mtanishukuru baadae

Mfano kwa Digital marketing pekeake kwenye hizi huduma tatu nitakazo ziandika hapa :

1. Email & message Marketing: unaweza kulipwa kuanzia $397 kwa mwezi

IMG_7323.jpg



2. Lead Generation: Unaweza kulipwa $997 kwa mwez

IMG_7324.jpg



3. Search Engine Optimization (SEO) Unaweza kulipwa $897

IMG_7325.jpg



Na kuna biashara na Companies zenye uwezo wa kulipa Zaidi ya hapo unachotakiwa wewe ni kuwapa matokeo tu,

Kwanini Hii biashara ipo kwenye High Demand?
Ni kwasababu Moja ya Sababu kubwa ya Msingi ya biashara nyingi kufa ni kukosa wateja sasa wewe unaingia hapo kutibu huo ugonjwa wa wao kukosa wateja na kuanza kupata wateja hizo services tatu nlizoziandika hapo ni bingwa kabsa kuleta matokeo and I guarantee you watakupenda na kuendelea kutaka kufanya kazi na wewe:

Kuna biashara zinazotoa huduma (Services) na Zinazouza bidhaa (Products)

Kwaiyo nilazima watafute wateja wapya na waweza kuwa retain wateja walionao , Lakin chakushangaza wamiliki wa hizo biashara hawajui cha kufanya na ndio maana huwa wanaajiri watu wa Marketing & Sales na kuanza kuwafundisha lakn pia hao watu wanakua na costs nyng za kuwagharamikia kama Employees wao , Kwaiyo kukulipa wewe kama Marketing consultant wao ina cut cost lakin pia ni cheap

Mimi ni Forex Trader kwa 7yrs now lakin pia Ni Digital Marketer , lakon kwa leo ntaongelea Digital marketing. Manaake naongelea vitu ambavyo hata kesho tarehe 2/1/2024 naendelea kufanya maana nafanya kila siku ya Mungu na matokeo nayaona sanaa tu

Na hizi ni baadhi ya Screenshot za Malipo ambayo nmekua nikilipwa

IMG_6744.jpg


IMG_6869.jpg


IMG_6743.jpg


IMG_6870.jpg



Sina maana ya kubrag so don't quote me wrong nakuonesha kwamba ni vitu ambavyo vinawezekana hata hapa Tanzania ukipata Ujuzi sahihi



Na uzuri ni kwamba with the help of A.i tools (Artificial Intelligence) zitakusaidia kuwapa wateja wako matokeo sahihi na kwa haraka huku ukitumia muda mchache sanaa , Nlivoona hivyo nkaongea na team yangu kwamba kwanini tusiwape huu ujuzi hustlers wenzetu maana tumezoea hizo amount kulipwa makampuni makubwa tu, kumbe hata wewe unaesoma hii thread unaweza kama utapata Elimu sahihi na tools:

Mfano wa tools nnazo tumia

Screenshot 2024-01-01 at 22.54.08.png




Hii ni Ai tool, Ambayo naitumia kulaunch Ads in just few minutes kwenda platform yoyote unayoijua wewe kama zinavoonekana hapo, Maanake with the Help of Ai nitapata copy za Ads bila kuumiza kichwa na inanionesha metrics zote on time

Screenshot 2024-01-01 at 22.59.31.png



Mfano hio Ad nliozungushia box jekundu na kuionesha na mshale, Ninakuonesha pia Analytics zake hapa

Kwa leo Tarehe 1/1/2024 hadi sasa imereach watu 15,478

Screenshot 2024-01-01 at 23.04.27.png



Na ukiangalia Clicks & Cost per click (CPC)
Clicks ni 22,054 na Cpc ni $0.00 means ni less than $0.01 ambayo wengi kwao hua ndio the lowest cost so ikiwa chin ya hapo unakuta inafika had $0.002 or $0.003

Screenshot 2024-01-01 at 23.05.15.png



Na chakushangaza zaidi Performance ni Best na CTR (Click through rate) ni 6 times benchmarks kwa Facebook Ads ambayo ni 1.75% lakin Ad yetu imefika 7.71% na inaweza kuzid hapo kutokana na Ongoing Optimization kwa msaada wa Artificial Intelligence (Akili bandia)

Screenshot 2024-01-01 at 23.07.33.png




Unyama ni Mwingi Mwaisa, Tulivodiscus tukafikia muafaka kuileta Course kubwa yenye fursa nyingi ndani yake , Inaitwa "ForexDigi" humo ndani ikijumuisha (Forex,Digital Marketing na Artificial Intelligence).

Since iam a Forex Trader na siwezi kuja kuiacha forex nkaona tuongeze value maana our Goal ni kuufikisha huu ujuzi wa Nchi 10 Africa zinazoongea kiswahili Means population tunayo itarget ni over 350,000,000 people Who are Online na hata Offline pia

Lakin kabla hatuja toka njee ya Nchi tuhakikishe Wapambanaji wenzetu wanayo maana huu mchongo hauwezi kua saturated hata tukijifunza watanzania wote 60 million, Maana baada ya kujifunza utaanza kuthink like a Global citizen maana yake you can serve any business in this world

Na Tool nayotumia kuzitafuta hizo Biashara ambapo napata Email, website (kama wanayo) , Business Name, social media zao zote nk ni hii

Screenshot 2024-01-01 at 23.28.35.png



Humo ndani kuna killer Softwares 10.

Natamani niandike vitu vingi na proof nyng ila thread itakua ndefu sanaa , Nasubiri response za wapambanaji wengine nishushe unyama zaidi ila kwa sasa unaweza visit hii link

ForexDigi

Kwa taarifa zaidi

Thanks

Themoneyhollic
 

Attachments

  • IMG_6743.jpg
    IMG_6743.jpg
    75.6 KB · Views: 20
  • IMG_6865.jpg
    IMG_6865.jpg
    84.4 KB · Views: 22
Back
Top Bottom