Nimepata sasa hivi toka TIGOPESA nikaanza kupata mawazo kibao nani kanitumia pesa! Maana tarehe ngumu hizi, kufungua niicheki, pambafu kabisa nakuta upupu, eti nikajiandikishe......hata sijamalizia kuisoma nikaishia kuifuta! Yaani sina pesa halafu mtu anakutumia li sms lakijinga
Agreed.tusifichefiche maneno hapa TIGO IS THE FIRST ONE!!! HAWA JAMAAA WANAKERA
UKIPIGA TU SIMU utasikia 'nunua muda wa maongezi kwa tigo pesa upate marambili ili.......'
sipendi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ndio kero yenyewe hiyo.Ha ha haaa! Mi mwenyewe ilinichanganya hiyo. Liki ziko tofauti kiduchu. Ile ya hela inakuja hivi 'Tigopesa.' Ile ya upupu iko hivi 'TIGOPESA'
Hawa wanaongoza.
Ungese wote huu unafanya na TiGO. Manina zao!
Kero kero.Airtel kwa kushirikiana na BAMVITA Inakukaribisha kwenye maonyesho ya wiki ya kusoma vitabu inayoanza tarehe 23 hadi 26 novemba katika maktaba ya taifa
nini kutuma sms wana tabia ya kupiga simu, umekaa unasubiri dili la maana, simu inaita unairukia ukipokea unakuta tangazo la kaka na dada sijui wanatokeana au ndo wanachati kero tuuuupu
Hii ya wapi tena?yesu ruwa!
tusifichefiche maneno hapa TIGO IS THE FIRST ONE!!! HAWA JAMAAA WANAKERA
UKIPIGA TU SIMU utasikia 'nunua muda wa maongezi kwa tigo pesa upate marambili ili.......'
sipendi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
yesu ruwa!