bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,668
Mamlaka ya mawasiliano hivi kazi yenu ni nini? Kero za mitandao ya simu kwa wateja na watumiaji mawasiliano ya simu na internet hamuoni au kuna jambo linaendelea.
Mtu siku nzima mitxt mfululizo ya kuuza bidhaa zao ni kero kwa sisi watumiaji.
Wizi wa Mbs kwanini msipange viwango vya bei na mbs maana bei ziko juu mno na pia tozo zao ziko juu sana. Kama muda wa maongezi mnalegulate why MBs nazo msilegulate?
Sasa hivi 1000 unapata 400 afu ukiziweka faster zinaliwa mpaka kero, msichukulie internet kama anasa dunia siku hizi km kijiji na vitu mhimu kuwasiliana na dunia ni internet sasa MBs ziko juu hivyo mnadhani nini kitatokea sasa.