Wenye mitandao mnatukera na meseji zenu za matangazo

Nilishawahi kutundika huu uzi...

TCRA SHOULD STOP THESE JUNK SMS's FROM MOBILE OPERATORS
The Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) should do something about mobile phone subscribers being bombarded with unsolicited SMS from network operator.
Mobile phone companies have found an inexpensive way of promoting their services and new products through broadcast text messaging, much to the annoyance of customers.
Sometimes you can receive at least three or more messages everyday, including the middle of the night.
It is very annoying when your phone beeps to alert you of an incoming SMS, only to discover that it is your network operator promoting some services or advertising a promotion
It is especially exasperating when you get these junk SMS’s when expecting important messages.
Mobile phone companies initially attached advertisement to their free Please call me messages, but they have now gone a step further are sending unsolicited SMS’s to their customers.
TCRA should intervene as a matter of urgency and spare us this inconvenience.
These unsolicited SMS’s are not any different from junk email. The only difference is that the Operators of popular email services such as MICROSOFT, Google, Yahoo are doing all in their power to keep junk mail out of users inboxes.

Mobile Phone Companies should use Medias to advertise their services, promotion and competition instead of taking shortcuts that inconvenience their Customers.

TCRA, VODACOM,TIGO,ZANTEL,AIRTEL NADHANI NIMESOMEKA TUONDOLEENI USUMBUFU
 
Nimepata sasa hivi toka TIGOPESA nikaanza kupata mawazo kibao nani kanitumia pesa! Maana tarehe ngumu hizi, kufungua niicheki, pambafu kabisa nakuta upupu, eti nikajiandikishe......hata sijamalizia kuisoma nikaishia kuifuta! Yaani sina pesa halafu mtu anakutumia li sms lakijinga

Ha ha haaa! Mi mwenyewe ilinichanganya hiyo. Liki ziko tofauti kiduchu. Ile ya hela inakuja hivi 'Tigopesa.' Ile ya upupu iko hivi 'TIGOPESA'
 
tusifichefiche maneno hapa TIGO IS THE FIRST ONE!!! HAWA JAMAAA WANAKERA

UKIPIGA TU SIMU utasikia 'nunua muda wa maongezi kwa tigo pesa upate marambili ili.......'

sipendi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
tusifichefiche maneno hapa TIGO IS THE FIRST ONE!!! HAWA JAMAAA WANAKERA

UKIPIGA TU SIMU utasikia 'nunua muda wa maongezi kwa tigo pesa upate marambili ili.......'

sipendi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Agreed.
 
mimi inanikera sana pia, unaweza kudhani ni ujumbe wa maana,kumbe mi sms yao ya matangazo ya biashara. Baadhi yetu hutumia msg kukamilisha biashara nje ya ofisi kuepuka kila mtu kujua maongezi yako. Wakati unasubiri majibu inaingia msg ya JISHINDIE...ILI KUJIUNGA.... Inakera hakuna mfano wake! Na airtel wameanza mtindo wa kuwapigia wateja wao. Sijui hawalioni kama ni kero kwa wateja wao?!
 
PIGA 0901004444 SASA na usikilize Quran tukufu,Dua,Hadith ,mawaidha au ongea na Sheikh moja kwa moja kwa TSh 30 TU kwa dakika

Hawa nao ni Airtel
 
Airtel kwa kushirikiana na BAMVITA Inakukaribisha kwenye maonyesho ya wiki ya kusoma vitabu inayoanza tarehe 23 hadi 26 novemba katika maktaba ya taifa
 
Mpendwa mteja Zap sasa imekua Airtel Money zima na kuwasha simu yako ili kupokea menu mpya ya Airtel Money. Jisikie huru na Airtel
 
nafikiri tuandamane,nimeshahudhuria semina nyingi za hawa wapuuzi tcra na kila mtu alielezea hii kero,.nafikiri wanachukuaga mlungula toka hizi kampuni!
 
tusifichefiche maneno hapa TIGO IS THE FIRST ONE!!! HAWA JAMAAA WANAKERA

UKIPIGA TU SIMU utasikia 'nunua muda wa maongezi kwa tigo pesa upate marambili ili.......'

sipendi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Zantel nao si haba.
 
Yani wanakera saaaana wamenifanya nimetupa line ya tigo na cm nimegawa kwa hasira, voda nao wananikera natamani nipasue pasue sim
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom