Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

anzia hapa lowasa alishinda urais 2015 au hakushinda? MAGUFULI alitangazwa mshindi ila kwa kura aliachwa mbali sana sana sana na lowasa. waulize kina January'
Weka data zako wote tuone. I am sure una hard copies. Vinginevyo kutegemea vya kusikia wakati una akili zako jiandae kuwa kibonde wa wanasiasa(Nimeondoa neno jamvi linatafsiri mbaya).
 
Issue sio kuiondoa ccm!

Issue ni maendeleo ya nchi.
Issue sio bunge live, bali mnaotaka ikulu, mbona bado hamjakaa ki ikulu?

Hivi hayo magwanda tafsiri yake nini?

Hivi ukamanda wenu ni jeshi gani, maana hayo majeshi tayari yapo?

Sera rasmi za chademani zipi?

Wanazuoni unaowasema ni wapi, zaidi ya mnaowatukana?

Au fyatuma k?

Alamsiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipigwe kura ya maoni kama vyama vingi viendelee au vifutiliwe mbali. Vikiendelea basi wananchi waanzishe vyama siyo mtu mmoja mmoja........ Hata Simba MO kapewa hisa 49% badala ya 51% alizozililia ili aimiliki klabu. Ufipa hoyeee!
Kura ya maoni ya nini? Vyama vya upinzani vina wanachama wengi kiasi cha kuonyesha wananchi hawataki mambo ya chama kimoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…