anzia hapa lowasa alishinda urais 2015 au hakushinda? MAGUFULI alitangazwa mshindi ila kwa kura aliachwa mbali sana sana sana na lowasa. waulize kina January'Tuanze kwa kumn'goa Mbowe maana ndiye aliyemleta Lowassa huku na kutuharibia upinzani ambao ulijengwa kwa damu za wanamageuzi. Kutoka kwenye "list of shame" hadi mgombea urais aliyepita kwenye mchakato wa ugombea bila kupingwa.
Tuanze na Mbowe kwanza#Membe_For_Presidency_2020 hii itafaa.
Tukakodi Tume huru ya uchaguzi na polisi kutoka mashariki ya mbali. Kwa hawa wanachama wa CCM walioko kwenye kichaka cha uDED, uRC na uDC, it is a done deal come 2020.
Hakuna shida anzeni naye ila sisi tunaanza na Membe.Tuanze na Mbowe kwanza
The only way nikuomba ccm wenyewe wanyukane ndani ya chama wakati wa mchakato wa uchaguzi vinginevyo sioni njia yakuishinda ccm kwa tume hii iliyopo plus jeshi la polisi na wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wa chaguzi kwa ngazi ya halmashauri.hivi mbona huwa hatujiulizi ile hamasa ya vijana kushona lile vazi maarufu la CDM, wazee wanawake na watoto kununua tisheti za M4C, nk ilipotelea wapi?
Chadema ya akina Dr. Slaa sio hii.....lazima mjitathimini kabla hatujatafuta mbinu za kuiondoa CCm
Membe hana madhara yoyote mkuu na hutoaminiHakuna shida anzeni naye ila sisi tunaanza na Membe.