Gogadi
Senior Member
- Nov 15, 2012
- 121
- 16
Nimependa sana watu walivyokua wana comment kwenye huu uzi, samahani sana kwa kuleta mada tofauti na hii mliyokua mnaizungumzia ndugu zangu.
Kwakweli mimi hua napenda sana kujiunga JWTZ yaani napenda sana, mwezi wa 6 ndio namaliza chuo nasoma bachelor ya Education, na nina miaka 26 kwa sasa. Je kwa huu umri naweza kweli kupata nafasi ya kujiunga na jeshi.? Maana nasikia mwisho ni 25. Natanguliza shukrani zangu
Mwalimu Fabian Manumba...kwa nini unapenda kujiunga na JWTZ?
Last edited by a moderator: