Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
huwezi kuchukuliwa labda matatizo yaanze ukiwa tayari mjeda
Ni kweli huwezi kuchukuliwa kama ulivyosema, ila hiyo haitoshi kusema kwamba huwezi kuingia jeshi ukiwa na matatizo ya macho hadi kupelekea kuvaa miwani, jiulize ni wangapi wanaojaribu kuingia jeshi wakiwa na afya zao ila wanakosa nafasi ya kuajiriwa baada ya kutoka jkt?