utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
petra si useme tu ...........:behindsofa:aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....
petra si useme tu ...........:behindsofa:
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....
Shauri yako mie nkiulizwa ntasema ile siku ............ :rain::smile-big::couch2:.......mbona nshasema vyote jamani
Zaratustra kama kweli ngekwambia ..........:smile-big:Preta, inawezekana wewe upo kwenye hiyo 20% isiyo na matatizo!
Bosi si ulikuwa wewe lakini ....... au nimekosea :lying:Nilikuwa naye mmoja nikakuta analiwa na bosi wake juu ya meza ofisini kwao nikamwacha
...............Ivi uaridi si ndio nanihii .......................... afu nasikia huwa wanaitwa mama huruma:behindsofa:Hii theory ina apply kwa waridi pia au lazima ua la kizungu?
preta nampa pongezi shemeji kama na wewe ni Rose kasheshe analo lakini anavumilia mimi wefiyako nae ni Rose balaa lake usipime bila mimi kumvumilia tungekua tumeachana muda mref lakini tunapendana usipime lakini kasheshe lake mmmmmmmmmm.acha2
yaani huwezi amini....ngoja nikuPM namba zake umpigie umuulize...pole na huyo Rose wa kwako
Shauri yako mie nkiulizwa ntasema ile siku ............ :rain::smile-big:
Nimepita hapa 7UP kupata kitu kidogo ntachelewa ntakuwa huko midaz ...........au shauri siku ile nilitoka na kakakiiza?....tulikwenda kupambanua mchakato wa kuliboresha jukwaa la malove dovi.....nothing special...vp leo niko aquiline utakuja?
Nimepita hapa 7UP kupata kitu kidogo ntachelewa ntakuwa huko midaz ...........
weeweeeeeeeeeee, ngoma iko kwa akina anitha bana, balaah, naskia kwa krosi hao ni balaa