Wenye majina ya rose!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
214
7
Nimewahi kusoma sehemu fulani,kuwa watu wenye majina ya Rose huwa na matatizo katika mahusiano,aidha ndoa huw a na migogoro au kutoolew kabisa.Baadaya kusoma elimu ile nilifanya utafiti mdigo kwa kina Rose ninaowajua ,nikagundua asilimia 80 wanamatatizo hayo wewe unasemaje !
 
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....
 
petra si useme tu ...........:behindsofa:
 
Hii theory ina apply kwa waridi pia au lazima ua la kizungu?
 
Nilikuwa naye mmoja nikakuta analiwa na bosi wake juu ya meza ofisini kwao nikamwacha
 
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....

Preta, inawezekana wewe upo kwenye hiyo 20% isiyo na matatizo!
 
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....

preta nampa pongezi shemeji kama na wewe ni Rose kasheshe analo lakini anavumilia mimi wefiyako nae ni Rose balaa lake usipime bila mimi kumvumilia tungekua tumeachana muda mref lakini tunapendana usipime lakini kasheshe lake mmmmmmmmmm.acha2
 
Hii theory ina apply kwa waridi pia au lazima ua la kizungu?
...............Ivi uaridi si ndio nanihii .......................... afu nasikia huwa wanaitwa mama huruma:behindsofa:
 
preta nampa pongezi shemeji kama na wewe ni Rose kasheshe analo lakini anavumilia mimi wefiyako nae ni Rose balaa lake usipime bila mimi kumvumilia tungekua tumeachana muda mref lakini tunapendana usipime lakini kasheshe lake mmmmmmmmmm.acha2

yaani huwezi amini....ngoja nikuPM namba zake umpigie umuulize...pole na huyo Rose wa kwako
 
Shauri yako mie nkiulizwa ntasema ile siku ............ :rain::smile-big:

au shauri siku ile nilitoka na kakakiiza?....tulikwenda kupambanua mchakato wa kuliboresha jukwaa la malove dovi.....nothing special...vp leo niko aquiline utakuja?
 
Nimepita hapa 7UP kupata kitu kidogo ntachelewa ntakuwa huko midaz ...........
 
weeweeeeeeeeeee, ngoma iko kwa akina anitha, maria na esther bana, balaah, naskia kwa krosi hao ni balaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom