Wenye Kuitaji Vitabu e-books

Nami pia nimekutumia kwa PM email yangu pamoja na orodha ya vitabu ninavyoomba. Asante sana na ubarikiwe.
 
Nami pia nimekutumia kwa PM email yangu pamoja na orodha ya vitabu ninavyoomba. Asante sana na ubarikiwe.
Usijali mkuu, ila foleni ndefu kidogo, fanya subra ndugu yangu viatabu vipo njiani Insha'Allah.
 
Ukinipatia email yako nitakutumia Insha'Allah.

KWA NINI USitoe website ya hapo vinapopatikana ukaweka hapa janvin? mpaka e-mail!!!!!!!!

si wote unaodhani kuwa hawawezi ku download. Weka hiyo website hapa achana na email.
 
KWA NINI USitoe website ya hapo vinapopatikana ukaweka hapa janvin? mpaka e-mail!!!!!!!!

si wote unaodhani kuwa hawawezi ku download. Weka hiyo website hapa achana na email.
Mkuu punguza hasira kaka, mimi nachofanya ni kuwasaidia ndugu, jamaa na marafiki ambao hawana internet 24/7 na hii ni kujitolea tu...!

Ila ili swali nishalijibu hapo mwanzoni. Vitabu vingi nilivyo navyo nimevipata College, na baadhi yake ni vya kupewa na lecturer wangu haswa vitabu vya IT. Na vingine ni kweli nimevipakuwa kutoka kwenye website mbali mbali nyingi sizikumbuki kwa sababu ni zamani kidogo. Ila ukiwa mtu wa ku download videoz na nyimboz utakuwa unajuwa kitu kinacho itwa torrent, mimi natumia BitTorrent kupakuwa movies na baadhi ya vitabu.

Kuna hii moja wapo inatwa http://www.ahashare.com na btjunkie - the largest bittorrent search engine hizi ndio website ninazo zitumia sana kupakuwa ebooks na videos.

Kila la kheri mkuu.
 
asalaam aleikhum mkuu.nami nime pm orodha ya vitabu ninavyohitaji na anuani yangu ya e-mail.natanguliza shukrani zangu .
Wa Alaykum-us-Salam Wa Rahmatullahi Wa Barakaatuh
Mkuu nimeshakutumia, angalia kwenye email yako.
 
X PASTER nimekutumia pm. Naomba u add na hizo cambridge medical books.
 
kaka,ni2mie hicho cha computer science,upgrading and fixing computers,nashukuaru mkubwa
 
hii download siyo .RAR file,ni exe file,hivyo ni program files siyo archive or zip file.halifunguki ktk linux OS
Kwa yeyote mwenye kuitaji vitabu vifuatavyo tuwasiliane.

Kuna vitabu vya:


  1. C,
  2. C#
  3. C++,
  4. Java,
  5. Javascript,
  6. CSS
  7. XHTML
  8. CompTIA
  9. Computer Science
  10. Upgrading and Fixing Computers
  11. CNET
  12. Joomla
  13. Multimedia Technology
  14. Fix Your Own PC
  15. Military
  16. The Complete Q&A Job Interview Book
  17. Macromedia flash MX
  18. The Focal Easy Guide to Final Cut Pro 6
  19. Windows Vista Annoyances
  20. Card Tricks
  21. Comic Books (Tintin)
  22. Learn To Draw,
  23. Cracking & Hacking
  24. Automobiles
  25. The English Grammar
  26. The Handbook of Good English
  27. How It Works (Aeroplane & Television)
  28. Human Body
  29. Principles of Genetics
  30. Sex, Marriage, and Family in World Religions
  31. The Art Of Expressing The Human Body
  32. Dictionary of Computer Terms
  33. Robotic
  34. FireFox Secret
  35. The Nostradamus Code WW III
  36. Religional Books

  1. Encyclopedia Of Ancient & Forbidden Secrets
  2. Flash Books:

  • Flash Advanced ActionScript 3 With Design Patterns (2006)
  • Flash ActionScript 3.0 (2006)
  • Advanced Flash Interface Design (2006)
  • Building Flash Web Sites For Dummies (2006)
  • Exploring Macromedia Studio 8 (2005)
  • Flash 8 - Projects For Learning Animation And Interactivity (2006)
  • Flash 8 - The Missing Manual (2006)
  • Flash 8 ActionScript Bible (2006)
  • Flash 8 ActionScript Bible
  • Flash 8 Cookbook (2006)
  • Flash Hacks - 100 Industrial-Strength Tips & Tools (2004)
  • Foundation ActionScript For Flash 8 (2006)
  • Foundation Flash Applications For Mobile Devices (2006)
  • Foundation XML For Flash (2005)
  • Game Development With ActionScript (2004)
  • Macromedia flash MX 2004
  • Macromedia Fireworks 8 - Training From The Source (2005)
  • Macromedia Flash 8 - A Tutorial Guide (2005)
  • Macromedia Flash 8 - Training From The Source (2005)
  • Macromedia Flash 8 ActionScript - Training From The Source (2006)
  • Macromedia Flash 8 Bible (2006)
  • Macromedia Flash 8 For Dummies (2006)
  • Macromedia Flash 8 For Windows And Macintosh - Visual QuickStart Guide (2005)
  • Macromedia Flash Professional 8 Unleashed (2005)
Vingine ni:

  1. Collection of 543 For Dummies E-Book (Taja Dummies yoyote kama ninayo nitakutumia)
  2. How to Make Anyone Fall in Love with You
  3. The Millionaire Next Door
  4. Short Practice of Surgery
  5. 42 Collection Of Finance & Accounting Books
  6. Desk Encyclopedia of Human & Medical Virology
  7. Do I Need to See the Doctor - (The Home-Treatment Encyclopedia),
  8. The New Complete Book of Food A Nutritional, Medical, and Culinary Guide Hematology - 8th Ed
  9. Medical Microbiology 24th edition
  10. The Complete Top Secret Famous Recipes Cookbook
28 Oxford Medical Handbooks

  • Anesthesiology 2008
  • Clinical Medicine 2007
  • Critical Care 2007
  • Emergency Medicine 2008
  • Obstetrics and Gynecology
  • Accident and Emergency Medicine (2nd Edition)
  • Acute Medicine (2nd Edition)
  • Anaesthesia (2nd Edition)
  • Clinical and Laboratory Investigation
  • Clinical Diagnosis (1st Edition)
  • Clinical Examination & Practical Skills (1st Edition)
  • Clinical Haematology
  • Clinical Medicine (6th Edition)
  • Clinical Medicine (7th Edition)
  • Clinical Specialties (7th Edition)
  • Clinical Surgery (3rd Edition)
  • Critical Care (2nd Edition)
  • Dialysis (2nd Edition)
  • General Practice (2nd Edition)
  • Genitourinary Medicine, HIV, and AIDS (1st Edition)
  • Medical Sciences (1st Edition)
  • Palliative Care (1st Edition)
  • Practical Drug Therapy (1st Edition)
  • Psychiatry (1st Edition)
  • Respiratory Medicine (1st Edition)
  • Tropical Medicine (2nd Edition)
  • Urology (1st Edition)
  • Handbook of Psychiatry 2008

Vitabu vyote vipo kwenye Mfumo wa .pdf

Vitabu vyote vipo compressed katika .rar, tafadhali download kati ya hizi WinRar:
WinRAR x86 (32 bit) 4.00 beta 5

WinRAR x64 (64 bit) 4.00 beta 5
 
hii download siyo .RAR file,ni exe file,hivyo ni program files siyo archive or zip file.halifunguki ktk linux OS
Mkuu watu wote nilio watumia vitabu, wameweza kuvifungua, sasa sijui wewe imekuwaje. Jaribu kufungua kwa kutumia operation system nyingine, kama windows au leopard.


Thanx
 
Mkuu watu wote nilio watumia vitabu, wameweza kuvifungua, sasa sijui wewe imekuwaje. Jaribu kufungua kwa kutumia operation system nyingine, kama windows au leopard.


Thanx
HABARI YAKO XPASTER.Nashukuru kwa vitabu,nimepata,lakn bado viwili nadhani ulisahau.
millionaire next door na the new complete book of food ,a nutrional,medical and culinary guide hematology.
 
[nitafurahi sna nikipata hivi tumia email:propermediacompany@yahoo.com

  1. C,
  2. C#
  3. C++,
  4. Java,
  5. Javascript,
  6. CSS
  7. XHTML
  8. CompTIA
  9. Computer Science
  10. Upgrading and Fixing Computers
  11. CNET
  12. Joomla
  13. Multimedia Technology
  14. Fix Your Own PC
  15. The Complete Q&A Job Interview Book
  16. Macromedia flash MX
  17. The Focal Easy Guide to Final Cut Pro 6
  18. Windows Vista Annoyances
  19. Card Tricks
  20. Comic Books (Tintin)
  21. Learn To Draw,
  22. Cracking & Hacking
  23. Automobiles
  24. The English Grammar
  25. The Handbook of Good English
  26. Human Body
  27. Principles of Genetics
  28. The Art Of Expressing The Human Body
  29. Dictionary of Computer Terms
  30. Robotic
  31. FireFox Secret
  32. The Nostradamus Code WW III

  1. Encyclopedia Of Ancient & Forbidden Secrets
  2. Flash Books:

  • Flash Advanced ActionScript 3 With Design Patterns (2006)
  • Flash ActionScript 3.0 (2006)
  • Advanced Flash Interface Design (2006)
  • Building Flash Web Sites For Dummies (2006)
  • Exploring Macromedia Studio 8 (2005)
  • Flash 8 - Projects For Learning Animation And Interactivity (2006)
  • Flash 8 - The Missing Manual (2006)
  • Flash 8 ActionScript Bible (2006)
  • Flash 8 Cookbook (2006)
  • Flash Hacks - 100 Industrial-Strength Tips & Tools (2004)
  • Foundation ActionScript For Flash 8 (2006)
  • Foundation Flash Applications For Mobile Devices (2006)
  • Foundation XML For Flash (2005)
  • Game Development With ActionScript (2004)
  • Macromedia flash MX 2004
  • Macromedia Fireworks 8 - Training From The Source (2005)
  • Macromedia Flash 8 - A Tutorial Guide (2005)
  • Macromedia Flash 8 - Training From The Source (2005)
  • Macromedia Flash 8 ActionScript - Training From The Source (2006)
  • Macromedia Flash 8 Bible (2006)
Vingine ni:

  1. Collection of 543 For Dummies E-Book (Taja Dummies yoyote kama ninayo nitakutumia)
  2. The Millionaire Next Door
  3. Short Practice of Surgery
  4. 42 Collection Of Finance & Accounting Books
  5. Desk Encyclopedia of Human & Medical Virology
  6. Do I Need to See the Doctor - (The Home-Treatment Encyclopedia),
  7. The New Complete Book of Food A Nutritional, Medical, and Culinary Guide Hematology - 8th Ed
  8. Medical Microbiology 24th edition
  9. The Complete Top Secret Famous Recipes Cookbook
28 Oxford Medical Handbooks

  • Anesthesiology 2008
  • Clinical Medicine 2007
  • Critical Care 2007
  • Emergency Medicine 2008
  • Obstetrics and Gynecology
  • Accident and Emergency Medicine (2nd Edition)
  • Acute Medicine (2nd Edition)
  • Anaesthesia (2nd Edition)
  • Clinical and Laboratory Investigation
  • Clinical Diagnosis (1st Edition)
  • Clinical Examination & Practical Skills (1st Edition)
  • Clinical Haematology
  • Clinical Medicine (6th Edition)
  • Clinical Medicine (7th Edition)
  • Clinical Specialties (7th Edition)
  • Clinical Surgery (3rd Edition)
  • Critical Care (2nd Edition)
  • Dialysis (2nd Edition)
  • General Practice (2nd Edition
 
Mkuu ninapendekeza kama utaweza u-list hapa Titles zote za vitabu ulivyonavyo ili sisi tunaopoenda vitabu tukupe order zetu. Usichoke tafadhali:clap2:
Mkuu list niliyonayo ni kubwa sana, na kuiweka hapa yote itachukuwa muda wangu mwingi sana...! Ndio mana nikachagua hivyo vichache kwanza.
 
Hivyo sina ila nitajaribu kukutafutia Insha'Allah!

Big-Up X-Paster, you are simply not aware how much Blessings from God shall flow towards you! You have done a wonderful initiative mkuu. Naomba hata BIBLIA na KURANI kwa Kiingereza na Kiswahili kwa ebooks ikiwezekana mkuu.
 
Back
Top Bottom