Nilekebishe kidogo mkuu kama nimekosea sehem,huwa napenda kujifunza zaidi na huwa sipendezwi na mtu anaejivuna kwa kitu alichajaaliwa na mwenyezi MUNGU,ulichoandika ni.................. ipp kabisa
Yani unatetea huku unaponda
hujakosea, ila ulichoandika ni kama unawaponda watu wa udom kwa kusema udsm wanabebwa na jina au ukongwe wa chuo.Nilekebishe kidogo mkuu kama nimekosea sehem,huwa napenda kujifunza zaidi na huwa sipendezwi na mtu anaejivuna kwa kitu alichajaaliwa na mwenyezi MUNGU,
Mkuu nilisema chuo kikubwa kama udsm au udom,so please emu angalia vizuri ile post,siwezi kukizarau udom kamwe kwani najua kinaukubwa gani kitaifa,na unapotaja one of the best university in Tanzania uwezi kiacha kwa sasa,na pia ni miongoni mwa vyuo vinavyokua kwa kasi ukanda wa Africa mashariki.hujakosea, ila ulichoandika ni kama unawaponda watu wa udom kwa kusema udsm wanabebwa na jina au ukongwe wa chuo.
Soma tena post yako utanielewa vizuri.
Vyema, ila katu usitegemee chuo kitakuja kukubebaMkuu nilisema chuo kikubwa kama udsm au udom,so please emu angalia vizuri ile post,siwezi kukizarau udom kamwe kwani najua kinaukubwa gani kitaifa,na unapotaja one of the best university in Tanzania uwezi kiacha kwa sasa,na pia ni miongoni mwa vyuo vinavyokua kwa kasi ukanda wa Africa mashariki.
Ok,thanks kwa ushauli,Vyema, ila katu usitegemee chuo kitakuja kukubeba
Hapo umenenaUnajua m2 anawez kua na three bt ana D mbl zinazoitajika je wew unazo
vyema, soma kwa bidii kijana, mtaani pagumuOk,thanks kwa ushauli,
Mkuu kajifunze matumizi sahihi ya R na L...Ok,thanks kwa ushauli,
Yeah ntalifanyia kazi ilo,na nikweli iko nikitu kinachonisumbua sana katika hali ya kawaida,but ntajitahidi kufanya ivyo mkuu,Mkuu kajifunze matumizi sahihi ya R na L...
Unaongea na mtoto mdogo mkuu, unapoteza muda wako kutoa mfano. Hao ndio vijana hawajui wanaenda chuo kufanya nini. Akitoka huko basi atazulula mitaa yote ya kwao akitangaza chuo anachosoma, bila kusahau kuzulula kwa kila ndugu kumwambia chuo anachosoma.Unaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Geology kwa pcm?Course ya georogy
Ndio mkuu..Geology kwa pcm?
Try kusoma TCU guide book vgezo vya kuingia chuo...nadhan hawajaandika kigezo cha division!!!e.g ASE ni point12 two lakn haiwez ingia degreeIFM naskia watu wamepata wenye div3