Wenye bibi zetu tunatiamo grisi tuu

Wenye bibi zetu tunatiamo grisi tuu

Ni kama alikua anataka nione mana simu ilikua karibu kabisa na mimi. Nilijua anatongoza mtu mana alikua anaandika na kufuta nilitamani kujua ujumbe ule umebeba zana gani za maangamizi ........!!
Unajuamini haha
 
Kila cku wananitumiaga nilishawapiga mkwara nawapeleka polisi lakini hawakomi!!
 
au ulifikiri ni wako? maana kuna wale akina sisi wazito kusema, huwa tunaandika unashangaa ukipiga chabo unaona ugonjwa ni wako..


Hahaahha....!!!!!
Hapana najua haukua wangu ila nilitaka kuongeza siku kwa kicheko tuu
 
Back
Top Bottom