HahahahahahaJana nilikua kwenye daladala kurudi nyumbani mida ya usiku nilikaa siti moja na kijana wa kiume.
Alikua na tekno ile ya tochi ndogo kuanzia nimepanda alikua anatuma msg nikashindwa vumlia ikabidi nipige chabo ya kigaidi hahahaa!!! kumbe mdau alikua anaandika msg ya namna hiyo ila nahisi alikua anayatafuta maneno mana alikua anaandika na kuyafuta , halafu namba iliyokua inatumiwa hiyo msg imeandikwa mganga wa mbande.
MhJana nilikua kwenye daladala kurudi nyumbani mida ya usiku nilikaa siti moja na kijana wa kiume.
Alikua na tekno ile ya tochi ndogo kuanzia nimepanda alikua anatuma msg nikashindwa vumlia ikabidi nipige chabo ya kigaidi hahahaa!!! kumbe mdau alikua anaandika msg ya namna hiyo ila nahisi alikua anayatafuta maneno mana alikua anaandika na kuyafuta , halafu namba iliyokua inatumiwa hiyo msg imeandikwa mganga wa mbande.
kuna shemeji naye huwa anatuma msg za hivoView attachment 691207
Maisha yanasonga na grisi ya bibi
Yeye msg zake ni anamtumia shemeji km huyo bibi alivotuma kwa mwizukuluShemeji yako?
Huna haja ya kujibu mkuu... Wanabahatisha kuna wajinga wanawaokotaHahaha ohhhhh hawa watu wananiuzi sana naona sasa wamehamia ktk Airtel yangu jana ilikua tigo. Sitaki kuwajibu
Hizo chabo zako kuna siku utajuta kwa nn umepeleka macho huko!! HahahaaaJana nilikua kwenye daladala kurudi nyumbani mida ya usiku nilikaa siti moja na kijana wa kiume.
Alikua na tekno ile ya tochi ndogo kuanzia nimepanda alikua anatuma msg nikashindwa vumlia ikabidi nipige chabo ya kigaidi hahahaa!!! kumbe mdau alikua anaandika msg ya namna hiyo ila nahisi alikua anayatafuta maneno mana alikua anaandika na kuyafuta , halafu namba iliyokua inatumiwa hiyo msg imeandikwa mganga wa mbande.
Mimi nimeshatumiwa na bibi na shemeji...Kweli kabisa, wewe hujawahi kutumiwa? Maana sikuizi wameenda mbali zaidi
Hizo chabo zako kuna siku utajuta kwa nn umepeleka macho huko!! Hahahaaa
au ulifikiri ni wako? maana kuna wale akina sisi wazito kusema, huwa tunaandika unashangaa ukipiga chabo unaona ugonjwa ni wako..Ni kama alikua anataka nione mana simu ilikua karibu kabisa na mimi. Nilijua anatongoza mtu mana alikua anaandika na kufuta nilitamani kujua ujumbe ule umebeba zana gani za maangamizi ........!!
Haha unapenda mtongozo kumbeNi kama alikua anataka nione mana simu ilikua karibu kabisa na mimi. Nilijua anatongoza mtu mana alikua anaandika na kufuta nilitamani kujua ujumbe ule umebeba zana gani za maangamizi ........!!
Huyu sii Bibi ni BISHDOView attachment 691207
Maisha yanasonga na grisi ya bibi