Ezekia Dibogo Wenje (born 2 October 1978) is a Tanzanian politician and part of the CHADEMA center-right political party in Tanzania and Member of Parliament for Nyamagana constituency since 2010.
KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema hakuna Mtanzania atakayekubali kuandamana Oktoba 29 kwasababu hakuna msingi wa maandamano yanayotajwa. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema Watanzania ni...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika
Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, amesema kuwa Chama Chake Cha Zamani Kwa sasa ni kimebaki kama NGOs
Wenje ameyasema hayo Leo Oct 16,2025 katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mkoani Kagera kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za...
"Biblia inasema Mungu hafanyi kazi na watu waoga wanaoogopa ushindani. Sasa watu waoga wanaokimbia uchaguzi licha ya mapendekezo na maombi yao kufanyiwa kazi ni hodari na shujaa? Ni hatari sana kuwa na Kiongozi wa Chama Cha Siasa anayesema yupo tayari kufa. Kiongozi aliye tayari kufa ni Kiongozi...
Wakuu
Leo nimemkumba rafiki Yangu Nyatega Wenje Ambae ni kaka Wa aliyekuwa mwenyekiti Wa Chadema Kanda Ya Ziwa, Ndugu Ezekia Wenje.
Ndugu Nyatega Wenje aliuwawa kikatili Kwa kuchomwa na kitu chenye ncha Kai mnamo 30 oktoba 2020, baada ya matokeo ya Uchaguzi kutangazwa .
Soma Pia: Ezekiel Wenje...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje amesema safari ya siasa kama maisha ya mwanadamu akibainisha kuwa kuna wakati kwenye maisha unapita kwenye mawimba na kwamba chadema wako kwenye kipindi cha mpito.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Wakuu,
Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo lilileta maswali mengi mtandaoni na vijiwe vya kisiasa kila mmoja akisema lake.
Hatimae jana Machi...
Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama.
Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema:
"Nimepigana...
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Ezekia Wenje ameulizwa kuhusu takwimu za madai ya ubadhilifu wa fedha za mkakati wa 'Join the Chain' ambazo alizitoa katika mkutano na waandishi wa habari wiki iliyopita.
Akijibu swali hilo, Wenje amesema aliainisha yaliyofanyika nyuma ya...
Ukweli uliowekwa wazi na mgombea umakamu uenyekiti wa Chadema Taifa Ezekia Wenje, umebadili uelekeo na kuweka sawa uoptoshaji na unafiki wa kiwango cha juu sana, ambao umekua ukisemwa na kusambazwa kwa makusudi na Lema na Heche dhidi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu mambo mbalimbali ndani...
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa.
Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu.
Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage.
Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila...
CCM inatumia Akili kubwa, inajua Mwenyekiti wake ni Rais wa JMT mwenye majukumu chungu nzima ya kiserikali hivyo ni Busara Yeye mwenyewe ateue Msaidizi wake kisha Mkutano mkuu umfanyie usahili
Hii inaepusha watu kuvunjiana Heshima kama huko Chadema yule mbobezi Wenje alivyowavuruga hadi...
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe.
Pia, Soma:
- Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'
- Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais...
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amesema "Hii ya (Lissu) kuombea Urais, unapokuwa na mgombea wa aina ya Magufuli, tunajua Magufuli alivyokuwa inabidi upeleke mtu anayefanana nae tabia zake"
Pia, Soma
- Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
- Ezekia Wenje...
Wakuu
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema...
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.
Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi...
Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.