Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,777
- 42,921
Unapokuwa na dodoso nyeti tafadhali iweke hapa hapa wazi,tena bila kuzunguka mbuyu.:sly:
mkuu hili nalo ulkuwa hulifahamu?
Unapokuwa na dodoso nyeti tafadhali iweke hapa hapa wazi,tena bila kuzunguka mbuyu.:sly:
Mamlaka ya uteuzi inapaswa kuliona tatizo la huyu magesa mulongo,ikibidi wampime pia akili yake kama ipo sawasawa,haina faida yoyote kumteua mtu mwenye historia ya migogoro kila aendapo!!lazima ifike mahali ateuliwe mtu kwa uwezo wake wa kuunganisha uma uliotengana na siyo kuutenganisha,wachukulie mfano kwa aliyekuwa mkurugenzi wa manispaa ya arusha aliyeondolewa kimizengwe mama Sipora liana,huyu aliweza kuunganisha wana arusha kwa kiasi kikubwa mno! Hata madiwani wa kambi zote mbili walishafikia mahali pa kusimama pamoja kupigania ustawi wa wananchi wao,ila aliondolewa na rais kwa maagizo ya huyu huyu mulongo!! Huyu ni mtu au shetani??poleni wana mwanza,kwani yule mwovu yu juu yenu!!
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa
Kwanini asiangaike usiku na mchana kumtafuta yule mtoto albino aliyepotea?
Ndugu wanabodi taarifa za uhakika zinasema mbunge wa NYAMAGANA EZEKIEL WENJE na aliyekuwa mwenyekiti wa vijana CHADEMA Taifa ndugu JOHN HECHE wanashikiliwa na jeshi la polisi Mwanza kwa kosa la UCHOCHEZI na kumtukana mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndugu MAGESSA Mulongo. Mpaka sasa hawajatoka na haijulikani hatma zaidi.
..............
Huyo RC safi sana. Aendelee kuwafundisha Watu kutii Sheria bila shurutiHuyo Mkuu wa Mkoa ni tatizo. Kila anapohamishiwa ni shiiiida!
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa
Huyo RC safi sana. Aendelee kuwafundisha Watu kutii Sheria bila shuruti
..Magessa yule bomu tu,ndio anaharibu zaidi.Ndugu wanabodi taarifa za uhakika zinasema mbunge wa NYAMAGANA EZEKIEL WENJE na aliyekuwa mwenyekiti wa vijana CHADEMA Taifa ndugu JOHN HECHE wanashikiliwa na jeshi la polisi Mwanza kwa kosa la UCHOCHEZI na kumtukana mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndugu MAGESSA Mulongo. Mpaka sasa hawajatoka na haijulikani hatma zaidi.
..............
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa
Wenje ndiye alibeba Mkoba wa Mapesa ya Mbowe kule Kenya wakati Sethi aliwaita kwenda kuchukua Mgao wa pesa za escrow wakapita Arusha wakamugawia Lema mvuta Bangi ambaye Juzi Juzi tena kavuta Pesa toka kwa Regnal Mengi kwa ajili ya kumchafua Muhongo. Huu ndiyo Upinzani wa Tz pima mwenyewe uone.Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa