Wenje na Heche washikiliwa na polisi

Wenje na Heche washikiliwa na polisi

Yeye anafikiri anajenga kumbe anaharibu

Moja ya sababu kubwa CCM kupotea na kuchukiwa sana ARUSHA nimisimamo ya visasi ya huyu jamaa.

Bila kuwa makini CCM wanapotea tena mwanza, wasishangae uchaguzi ujao mwanza na jiarani yake shinyanga vinakuwa chadema.

Watu hawapendi nguvunguvu, lazima na mateso ya hovyohovy bila sabau, Ya ARUSHA yanahamia Mwanza, CCM wanapotezwa.
 
huu ubabe wa viongoz kwa serikari dhidi ya wawakilishi wa wanainchi ndio unaoiangamiza ccm, nimejifunza hiyo kupitia uchaguz wa serikali za mitaa huko kilombero. lakin pia baadhi ya wabunge wa chadema wamekuwa na lugha za matus,uwongo nadharau kwa viongoz wa serikali. mda umefika kila upande ukatumia busara na hekima katika majukum yao.
 
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa

Usisahau sheria nimsumeno, sijuwi kama ipo kuilinda ccm na kushugulika upinzani pekee.

Aliyesema anaushahidi mbinguni na duniani ushahidi wake wakuchochea chadema chama cha magaidi ulishia wapi? au

yeye yupo juu ya sheria? Anachokifanya huyu magesa niutovu wa nidham na uchochezi wa vurugu.

Ameondoka Arusha kumetulia, mlisema Lema mkorofia, hapana mkorofi amejulikana sasa.

Magesa amehamia Mwanza mtasemaje maana na fujo zimehamia mwanza. inshort huyu ndiye alikuwa tatizo ARUSHA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijawahi kuona mkuu wa mkoa anae penda ufalme kama huyu. Yaani huwa ana andamana na msululu wa magari kibao. Escort ya Polisi mbele na nyuma. Duuh gharama kibao, hata maabara hatuna!!
 
Baadhi ya viongozi wa maccm toka Msoma wana matatizo gan kwani?

Mohongo na Mlugo mna matatizo gani?
 
kati ya vitu ambavyo nina uhakika kuhusu mulongo ni kwamba ni mla rushwa hatari,namjua kwa karibu alipokuwa dc kule bagamoyo.
 
kati ya vitu ambavyo nina uhakika kuhusu mulongo ni kwamba ni mla rushwa hatari,namjua kwa karibu alipokuwa dc kule bagamoyo...alichangia hela nyingi katika harakati za m.kwere kwenda magogoni...fadhila zinalipwa hapa.
 
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa

mkuu wewe ni mtanzania kweli, mbona uyatuandikia gujurati hapa, Eti aka muulize Lema , my nose, between magesa na Lema who is the winer, jibu unalo na Kama hauna go do that home work.
huyo mayor matata unaemsifia ni fisadi mkuu,rejea report ya CAG, Kama hauna go do that home work too.
pole Sana wana mwanza soon tutawaonyesha nyie mafisadi kwamba huyo magesa wenu ni cha Mtoto kwetu
 
Hivi wewe H.Matata umesoma mpaka darasa la ngapi. Hukufundishwa kuandika kwa koma na vituo? Waachie jukwaa hili watu walioenda shule. Wewe furahia tu kusoma michango ya watu.
 
Kutoka nafasi ya udereva wa first lady hadi kupewa Ukuu wa Mkoa je unaweza kweli kuimudu hiyo nafasi?
 
Ndugu wanabodi taarifa za uhakika zinasema mbunge wa NYAMAGANA EZEKIEL WENJE na aliyekuwa mwenyekiti wa vijana CHADEMA Taifa ndugu JOHN HECHE wanashikiliwa na jeshi la polisi Mwanza kwa kosa la UCHOCHEZI na kumtukana mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndugu MAGESSA Mulongo. Mpaka sasa hawajatoka na haijulikani hatma zaidi.
..............

Who cares wache wakaendani hao janga la taifa
 
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa

Tatizo ulilonalo hakuna awezaye kukusaidia ila Mungu tu.
 
Hapo ndio wanafuzu kozi ya ukamanda.

Bila kutukana viongozi wa serikali na kuwekwa sero , kupigwa na polisi bado hujawa kamanda kamili
Hongereni sana Makamanda!

Kesho tutasoma habari zenu kwenye Frontpage ya Tanzania Daima.
 
Huyu mkuu wa mkoa ni mjinga sana, nilimdharau alipolazimisha ujenzi wa maabara Mwanza. bogus kabisa huyu
 
Hao ndo miongoni mwa wateule wa jk ambao ni shida, kila wanakokwenda lazima waanzishe chokochoko au migogoro na wenyeji wao hasa viongozi wa upinzani.
 
Waanacha kukamata majizi ya Escrow,wanahangaika na watetezi wa haki za wananchi!
 
Back
Top Bottom