jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Huyu mkuu wa mkoa ni mjinga sana, nilimdharau alipolazimisha ujenzi wa maabara Mwanza. bogus kabisa huyu
Ufalme umefitinika
Huyu mkuu wa mkoa ni mjinga sana, nilimdharau alipolazimisha ujenzi wa maabara Mwanza. bogus kabisa huyu
Mamlaka ya uteuzi inapaswa kuliona tatizo la huyu magesa mulongo,ikibidi wampime pia akili yake kama ipo sawasawa,haina faida yoyote kumteua mtu mwenye historia ya migogoro kila aendapo!!lazima ifike mahali ateuliwe mtu kwa uwezo wake wa kuunganisha uma uliotengana na siyo kuutenganisha,wachukulie mfano kwa aliyekuwa mkurugenzi wa manispaa ya arusha aliyeondolewa kimizengwe mama Sipora liana,huyu aliweza kuunganisha wana arusha kwa kiasi kikubwa mno! Hata madiwani wa kambi zote mbili walishafikia mahali pa kusimama pamoja kupigania ustawi wa wananchi wao,ila aliondolewa na rais kwa maagizo ya huyu huyu mulongo!! Huyu ni mtu au shetani??poleni wana mwanza,kwani yule mwovu yu juu yenu!!
Hakika CCM hawalijui hilo sasa Mwanza ndio basi, kule kwetu Njombe wakati wa uchaguzi wa diwani walimpeleka ndani eti kachochea hasira za wananchi zikaonekana kwenye uchaguzi wa srikali za mitaa. Mji wote kasoro mitaa mitatu ilikwenda CCM..Mulungo atasababisha Chadema iimarike Mwanza kama ilivyoimarika Arusha.
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa
Mkuu wewe ndio hauko sahihi. Kama ingekuwa imeenda likizo lazima wangekuwepo wa kukaimu, hapana labda useme iko usingizini nasi tunasubiri labda mamlaka itaamka.Mkuu samahani lkn ila nilipoona umeanza kuinyooshea kidole mamlaka ya uteuzi nikahisi wewe ni mmarekani japo kuna wamaerekani wengine wanajua kwamba mamlaka ya uteuizi imeenda likizo toka 2005 au mm ndo sielewi?
Ndugu wanabodi taarifa za uhakika zinasema mbunge wa NYAMAGANA EZEKIEL WENJE na aliyekuwa mwenyekiti wa vijana CHADEMA Taifa ndugu JOHN HECHE wanashikiliwa na jeshi la polisi Mwanza kwa kosa la UCHOCHEZI na kumtukana mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndugu MAGESSA Mulongo. Mpaka sasa hawajatoka na haijulikani hatma zaidi.
..............
huku arusha alishindwa na mwanza atashindwa tu. alafu kuna tetesi yule demu wake aliyetishia polisi na bastola amekuja nae huko mwanza. watu wa huko tupeni taarifa.
Pumbavu wewe unayefikiri kwa kutumia Makalio.Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa
Kutoka kuwa house boy mpaka mkuu wa mkoa, unafikiri ataweza kuwa na busara za kuendesha mkoa?
Hapo ndio wanafuzu kozi ya ukamanda.
Bila kutukana viongozi wa serikali na kuwekwa sero , kupigwa na polisi bado hujawa kamanda kamili
Hongereni sana Makamanda!
Kesho tutasoma habari zenu kwenye Frontpage ya Tanzania Daima.
Kutoka kuwa house boy mpaka mkuu wa mkoa, unafikiri ataweza kuwa na busara za kuendesha mkoa?