Wenje na Heche washikiliwa na polisi

Wenje na Heche washikiliwa na polisi

lakin pia baadhi ya wabunge wa chadema wamekuwa na lugha za matus,uwongo nadharau kwa viongoz wa serikali.
lakini lugha za matusi na uongo na dharau sio "uchochezi."

Enzi za utawala wa Julius Nyerere, dola ilitumia sheria za "Preventive Detention Act" kutia nguvuni wanasiasa dissidents, bila hazi za kisheria au demokrasia. Siku hizi wanatumia sheria ya uchochezi kudhibiti harakati za kisiasa na kijamii zinazowakosoa ama kutishia utawala wanaotaka uwe wa milele.
 
We mzee umebakisha kama miezi 8 ule jeuri yako.
Nakuapia utahama Mwanza nyambaf kabisa.
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari hivi kapata kiboko chake aende akamuulize lema atapata Jibu mlongo ni kijana lakini ni makini ukija kichwa kichwa utajigongo kwenye kisiki cha jiwe yeye mlongo ni kiongozi anaye jiamini kama meya matata na ameletwa mwanza kuwalekebisha walio shindikana kama wenje anayefanya mambo ya kizamani yakuwajaza vijana na viroba ili wawazomee viongozi akae chonja wakati atapata pata na ile kesi yake ya bunduki mkuu ifufuliwe Ina ushahidi wa wazi wazi simulazie damu kwa hili la wenje mimi nasema tuko pamoja mpaka kieleweke na nyinyi washabiki Kaeni kimya mujionee ngoma inavyochezwa
 
Wenje anaelekea mwisho ' watu wa mwanza wameisha mgundua kama ni mbabaishaji 'muongo ,mhamishishaji wa fujo ,mnatukana mkuu wa mkoa amewakosea nini kama sio ushabiki wa kisiasa , waacheni polisi wafanye kazi yao na kama wenje hamutaki akamatwe basi aache fujo aache uchochezi aache kuwanywesha vijana wetu viroba ,aache kuhamasisha vijana kuzomea viongozi , aache kuchangisha wanannchi pesa na kuzichukua hizo pesa zao na kwenda nazo dar kufungua pharmacy badala kununua madawati ya shule , na asifikiri mwanza ubunge ni wakurudia Rudia ni vizuri ajifunze historia ya wabunge walio pita . Safari watu wa mwanza wamejipanga asikiri ule upepo bado upo asifikiri kwamba machinga wako nae asifikiri kina mama ntilie wako nae , asifikiri wana chadema wa mwanza wako nae , asifikiri wana mwanza bado wako nae na wanamchukia sana kwa kuzalisha fujo na kuwaacha vijana wao kupigwa mabomu wakati yeye anajificha nyuma na vijana wakishikwa yeye anskimbilia dar kuwaacha vijana maabusu .
 
Naona kama umeandika kishabiki sana na haihitaji level ya degree kuelewa post yako. Meya anatakiwa kujitambua coz ni nafasi kubwa sana,hatamiwi kuja na pointi nyepesi hivi hii inatupa wakati mugumu na inatuforce kuhoji credibity ya Meya Hiyu!Meya si hakimu kuhukumu mtu,by the way,vipi kesi yako na CDM iliishaje na ww ni Meya kupitia chama gani.
 
Wenje anaelekea mwisho ' watu wa mwanza wameisha mgundua kama ni mbabaishaji 'muongo ,mhamishishaji wa fujo ,mnatukana mkuu wa mkoa amewakosea nini kama sio ushabiki wa kisiasa , waacheni polisi wafanye kazi yao na kama wenje hamutaki akamatwe basi aache fujo aache uchochezi aache kuwanywesha vijana wetu viroba ,aache kuhamasisha vijana kuzomea viongozi , aache kuchangisha wanannchi pesa na kuzichukua hizo pesa zao na kwenda nazo dar kufungua pharmacy badala kununua madawati ya shule , na asifikiri mwanza ubunge ni wakurudia Rudia ni vizuri ajifunze historia ya wabunge walio pita . Safari watu wa mwanza wamejipanga asikiri ule upepo bado upo asifikiri kwamba machinga wako nae asifikiri kina mama ntilie wako nae , asifikiri wana chadema wa mwanza wako nae , asifikiri wana mwanza bado wako nae na wanamchukia sana kwa kuzalisha fujo na kuwaacha vijana wao kupigwa mabomu wakati yeye anajificha nyuma na vijana wakishikwa yeye anskimbilia dar kuwaacha vijana maabusu .
Kweli kaka umemuamlia Wenje,CDM ipi Mwanza haiko na dogo janja? Mi naishi Mza na unayoyasema ww ni vice versa,hivi ww utagombea tena udiwani? Upepo ulokupitisha ww unajua kbs haupo so CCM watakupa umeya bila kuwa diwani au utapewa viti maalumu? Kaka tupe habari za ukweli tukuelewe but not the Dallas you are talking about!
 
Nani kabakiza miezi minane ahame mwanza ? Kama labda una maana mimi basi umepotea mimi ni mwanza kabisa na hakuna mtu yeyote Yule wakunithibiti mm na kwa tarifa yako hata watu wanakushangaa kujiropokeA maneno hayo wewe unihamishe mimi mwanza
 
Udiwani Kwangu sio walazima kwani miaka yote nilikuwa diwani acheni maneno ya ushabiki Mimi naweza kujitegemea bila hata umeya na udiwani kama unijua vizuri jua Mimi najiamini sana ile mbaya na ukome
 
niliposikia mlongo anahamishiwa mwanza nilijua anaenda kupambana na wapizani kwn ndio malengo ya watu waliofeli kujenga hoja
 
Nani kabakiza miezi minane ahame mwanza ? Kama labda una maana mimi basi umepotea mimi ni mwanza kabisa na hakuna mtu yeyote Yule wakunithibiti mm na kwa tarifa yako hata watu wanakushangaa kujiropokeA maneno hayo wewe unihamishe mimi mwanza

who are you??acha majigambo ya kijuha""!kichwa hakipo kwa ajili ya kutunza nywele bali akili na busara!unachokifanya ni matokeo kuwaza kwa kutumia kifua!!politics is animal activity but not every animal can practice politics espcially iron people like you cant profoundly do!coz it needs realistic n objectivity!!acha siasa za kinduli!!hazipo in liberal politics!!
 
Udiwani Kwangu sio walazima kwani miaka yote nilikuwa diwani acheni maneno ya ushabiki Mimi naweza kujitegemea bila hata umeya na udiwani kama unijua vizuri jua Mimi najiamini sana ile mbaya na ukome

ushaona upepo haupo tena kwako, wewe si diwani Wa mahakama, hahahaha nawasikitikia watu Wa mwanza meya bogus Kama huyu mmmmhh.
malizia siku zako ukapumzike, vipi ile nyumba iliyokuwa ufukuzwe ulilipa?
vipi ile kashfa ya mkurugenzi na yule mkandarasi mliemtoa mbeya
kweli wewe matata ni fisi maji .
 
Mlongo ni Jembe kama uncle wenu mimi uncle Matata tumpe ushirikiano wa dhati Mza utakuwa jiji la Amani tuwasuse wafanya fujo na wapenda maandamano yasio na tija
 
Back
Top Bottom