Nikikuta Hojatete yuko kwenye uzi basi mimi nahama.kwake yeye heasbu hii jibu lake ni haiwezekani:1-2 =
anachokifanya Hojatete ni kumwibia mwajiri wake Nape,maana JF sio wa kuwavuruga akili kwa njia hii manyotumia,wana uwezo wa kuchuja mambo,hizo propaganda za kutaka kuhamisha mawazo ya watu bado kidogo vijijini ambao percent kubwa hawana access ya net.labda mkasimame majukwaani lakini napo bado kidogo tu mtakwama mazima,sasa anaekulipa ili uandike uharo humu sijui nae mko sawa akili zenu.
Muulizeni Kafumu yanayompata huko Igunga jimbo ambalo ndio la watu waliolala lakini tangu wameanza kuona mwanga wanazidi ku-change.
Hojatete mi nahama bana sina cha kjadili na wewe,mpaka utakapoiweza hiyo hesabu hapo juu