Wenje asambaratisha CCM Sengerema

Sasa huyo Wenje alikuwa wapi siku zote kwenda Sengerema??? kaona Ngereja kaenda ndio nae kapata Nguvu???? Siasa zetu bhana kweli full komedi yaani watu ni Kuviziana badala ya kufanya mabo ya maendeleo!! kazi ipo
 
Coment yako haina ujazo ni nyepesi sana,rudia tena.
 
That politics, but it is hard to believe if a reasonable man with a sound mind can acknoledge anything delivered by mr ngeleja!
 
Wale ni viongoz ila hawa wenje ni kama alivyo yeye mropokaji na cc hapa jimbon ha2mitaj 2nasubir 2015 2mpatie jb
 
Safi sana Wenje wewe ni mpiganaji wa ukweli,tupo nyuma yako katika ukombozi wa Taifa letu la Tanzania,linalodhurumiwa mali zake na majambazi CCM.
 
Sasa huyo Wenje alikuwa wapi siku zote kwenda Sengerema??? kaona Ngereja kaenda ndio nae kapata Nguvu???? Siasa zetu bhana kweli full komedi yaani watu ni Kuviziana badala ya kufanya mabo ya maendeleo!! kazi ipo

Kununua watu, ufisadi, ndo umeona maendeleo
 
mwendo mdundo mpka watapike..Wenje hongera sana kwa kazi ya kukomboa fikra za watu wa mwanza
 
katika wilaya ya geita jana viongozi pamoja na wanachama 50 wa chadema walirudisha kadi na kujiunga na CCM.kwa hiyo hadi sasa uongozi wa cdm ktk wilaya za geita,sengerema na mwanza mjini umesambaratishwa mbaya kabisa.
Bangi ya masika mbaya, mimi niko Geita mbona sijawaona wala kuwasikia hao unaodai wamerudisha kadi za CDM?
 
Back
Top Bottom