mjomba wake na odinga oginga wa jaramog
Tangu chaguzi za marudio kata 29 mwaka jana, mwezi Oktoba, CCM wamekuwa wakishangaza jambo moja muhimu sana katika mahesabu ya kiuchaguzi! Wamekuwa sawa na bwana mkubwa mjinga nitakayemwelezea hapa chini;
Hivi bwana mkubwa mwenye watumwa 40 mfano anakwenda vitani na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa dhaifu, asiye na kitu ambaye anajitutumua na anafanikiwa kupambana na jeshi la bwana mkubwa na kuteka watumwa wanne kati ya wals 40, vita hiyo fupi inakwisha, bwana mkubwa anaanza kujisifu kwa kushinda vita na kubakia na watumwa 32, hakumbuki kuwa mtu yule ambaye hakuwa na chochote ameweza kupambana na 'kumshinda' kwa kuweza kuwachukua na kuwaweka huru waliokuwa watumwa wake.
Maeneo hayo ambayo wameweza kupata viongozi na wajumbe wa CHADEMA, kuanzia juzi ni maeneo huru, yamekombolewa kutoka utumwani mwa mikono ya serikali dhalimu ya CCM inayohangaika kujiokoa katika anguko kubwa. Wamekuwa watu huru. Wamepata utumishi. Watatumikiwa hawatatawaliwa.
Wananchi hao ni sawa na mkulima aliyeamua kufuga paka wachache tu kuwaweka ndani ya ghala kubwa la chakula lililokuwa limejaa mapanya wengi. Ulaji (kuminya haki za wananchi, kuwadhulumu, kuwanyanyasa n.k) katika maeneo hayo sasa, hautakuwa kama ilivyokuwa.
Kama CCM imefikishwa mahali ambapo inaweza kujivunia kushinda vijiji na vitingoji, maana yake ni kwamba kuna mshindani huko na mshindani huyo ukimshinda inabidi utambe mji mzima. Haikuwahi kutokea katika historia ya upinzani nchini. Dalili za CCM kufa, wanazionesha kwa maneno na vitendo vyao wenyewe.
Wameshakabwa hadi kwenye vitongoji. CHADEMA sasa imefika na imesimikwa kila mahali nchi nzima. Hili ndilo lilikuwa la muhimu na hatua kubwa sana katika safari hii iliyoanza miaka mingi iliyopita.
Weche ndio WENJE nini?
Hawa si wamepigwa marufuku na kiongozi wao kuisifia serikali. Mbona hawasikii???
Naona mchimba kaburi kaingia mwenyewe. Chadema sasa HAITAWALIKI...

go go go chadema
Kama unafikiria kwa kutumia kichwa utagundua kuwa CHADEMA wanastahil PONGEZI na ukizingatia hal ya kisiasa wilayan iramba,lakin kama unafikiria kwa kutumia makalio{ashakumu si matus} utagundugua kuwa CCM wanastahil pongez.., lakn naomba nitoe daarasa kwa wale wanafikir kuwa ccm wamepata mafanikio kwenye ule uchaguz kiukwel ukifanya tasmin ya kisayans utagundua ku wa, ccm kwa mara zote wamekuwa wakishnda kwa asilimia 99.8 lkn juz wameshinda kwa asilimia 69.7, sasa sijui hi inaashiria nn.? Sasa nijukumu lako kutumia ubongo kufikiria na utagunda ni nan astahil pongez..?
Kwa akili hizi walaaniwe wooote waliolegeza breki za gari lililosababisha kifo cha marehemu Regia Mtema.
mkuu nyie mnategemea wenje aongee nini make huo ndiyo uwezo wake umegota hapo hawezi tena kujua aongee nini.
Una uwezo finyu wa kufikiri kijana!
Kati ya Lumumba (CCM) na mtaa wa Ifupa (CHADEMA) ni wapi wanapokea watu wasio elimika? Sugu ana kiwango gani? Lema je? bila kumsahau Mbowe (mr zero)?
Ukija Lumumba unapewa majukumu kulingana na uwezo wako kutokana na ujuzi (elimu ikiwa kigezo kimoja wapo kwenye nafasi za kimaamuzi), CCM ni chama cha kitaifa, kila mtu ana nafasi yake ya kiutendaji kutokana na elimu na uwezo.
Sasa wewe mleta thread unataka wabunge waseme bungeni kama wewe unavofikiri?...basi kama ndio hivo, wape kanuni...
bora hata hapo huwa anasema uchi wa moto badala ya uji wa moto.chezea jaluo ya kenya.
kanuni anazo zitto .hawatakiwi kusifu chochote.
kwa hiyo ulitaka chadema waishie uchagani tu na kwa zitto? waache wasambae ili wakipigwa kwenye uchaguzi majuto na vilio viwe nchi nzima
Wabunge wa CHADEMA siku za hivi karibuni wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile.
nadhani unawasema wanausalama wa chadema waliobora kuliko uwt.cc.kibanda