Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Mi nakuelewa sana, kwakweli hata mimi mwenza akiwa mbali nakuwa mpweke kitanda kinakua kikubwa afu cha baridi, nalala kwa uwoga hata mjusi akipita nashtuka shtuka.msosi na mpishi vipo kiongozi,,,shida ni upweke mama mwenye nyumba hayupo
Mapenzi yafutwe