Hahahaaaa Kuna dharura eeehDuh! Sasa ndo ufoke kiasi hicho
Kiporo lazima nile kwanza hakihitaji moto mwingi
(Mtalaka hatongozwi) labda kama kaolewa.
Sijawahi kosana na X wangu ye yote sijui kwa nini?

Viporo vikijipendekeza wengi hula, ila inamadhara Sanaa kuliko saana.
Duh! Sasa ndo ufoke kiasi hicho
Kiporo lazima nile kwanza hakihitaji moto mwingi
(Mtalaka hatongozwi) labda kama kaolewa.
Sijawahi kosana na X wangu ye yote sijui kwa nini?
Inawezekana elimu ya mahusiano kwako Iko mbali au tofauti,kuachana sio uadui.
Me too aisee,labda kama hatukubanduana
Msimamo muhimu Sana
Kweli kabisa hii.
Ila ubaya ni kua mwanamke akikusaliti penzi linakua hatarini.
KabisaNa kama hukula hakiitwi kiporo
Hujawahi kutana na kipro max aisee,Ile hata ukikaa unasema kweli pale roho,nafsi,mwili vyote vilikuwa vinasalute,hata muachane aiseee miaka hata mitano ipite utapasha tuElimu ya kupasha kiporo Kwa kweli hiyo ilinipita mbali Mno.
Uchafu
hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Hamna mwanaume malayaKwenye mahusiano mara nyingi zigo la misumari wanatupiwa Wanawake
Sio Kila mahusiano watu wanaachana Kwa kukosana.Hamhajawi kosana Wakati mumeachana. Huo ni unafiki wa kiwango cha juu Kabisa
.. nikamjibu sawa , maana me nikiachana na mtu huwa naachana kistarabu.
Sio Kila mahusiano watu wanaachana Kwa kukosana.
Hamna mwanaume malaya
Hujawahi kutana na kipro max aisee,Ile hata ukikaa unasema kweli pale roho,nafsi,mwili vyote vilikuwa vinasalute,hata muachane aiseee miaka hata mitano ipite utapasha tuhakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Taikon ameachwa leo![]()