Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

Ili watu watende matendo mema.
Dunia ingekuaje kama watu wangekuwa na uhakika hakuna moto wa Jehanamu?
Daah..noma sana ila kwanini kutishana kuwa kuna moto wa jehanamu.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii ni kwa mujibu wa mtazamo wako, niliye m quote alikuwa na imani tofauti na ndio maana swali langu lililenga kwake aniambie imekuaje aseme Mungu hakuwa na lengo la binadamu wafe ilihali uwepo wa kifo kimetokana na huyo huyo Mungu.
Hivi hukuni quote kumbe, ook
 
HII NDIO ATHARI YA MAFUNDISHO UONGO HAYA
"MUNGU KAMPENDA ZAIDI"
"MUNGU KAMCHUKUA"
"KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA"

UTAFIKIRI MUNGU AKIKUPENDA ANAKUUA SERIOUS??? MUNGU KAZI YAKE NI KUUA!!!!?? KAMA NIIVI MBONA STAKI NIPENDWE SAS...

TUMEJENGEWA PICHA YA MUNGU KATIRI WAKATI "MUNGU NI PENDO" ONA SAS KIJANA ANAVYOMCHUKIA MUNGU BILA SABABU. JAMAN SHETANI NDIO ANAUA... KIMBIENI MAFUNDISHO YA UONGO HAYO MTACHIZIKA
 
Ungefaa umtaje na huyo mungu ambaye humpendi.
Yaani jina lake ni nani ?
Mana kuna mungu wengi sana.
Sema mungu flani, na namchukia kwa sababu flani.
 
Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
Natamani ungemjua walai usingempa shutuma hizo..nakuombea neema tu..ujue wema wake..na ukuu wake kwa wanadamu!
Kama shutuma na kuua ndugu..how sure ni yeye?.maana si kila kifo chatokana na mungu..mengine mnamsingizia😀😀😀
 
Baba mzinzi na mimi ninatakiwa kutubu ?
 
Kuna Mungu wengi? Au kuna majina ya Mungu mengi?
Kumbukumbu la Torati 5:7
Usiwe na miungu mingine ila mimi.

Mungu anayejiita
Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu.

Aliwahi kusema
Tusiwe na "miungu" mingine ila yeye.

Kuna mungu, Dogani, Appollo, Zeus, Eres, Allah, Hellmes, Budha, Hindu, NK

Mtoa Mada hii, hapo asiyempenda ni yupi ?
 
Ungefaa umtaje na huyo mungu ambaye humpendi.
Yaani jina lake ni nani ?
Mana kuna mungu wengi sana.
Sema mungu flani, na namchukia kwa sababu flani.
Watu wana "miss" hii point na sijui kwanini. Mungu ni neno moja linaloweza kukubali maana yoyote ile kulingana na unachoona ni faraja kwako
Sasa unaposema Namchukia Mungu au Usimkufuru Mungu au Mungu yupo, bila kutupa maana ya neno Mungu kwako basi unakosea kila kitu

Kwa sababu unaweza kukubaliana na watu msiokubaliana kwa kuwa tu wote mnatumia neno Moja
Kuna Maelefu ya Miungu Duniani inayoaminiwa na kuabudiwa na Mamillion ya watu Duniani kote.
Ila usihofu.Wa kwako tu ndio wa kweli
 
Mpende Mungu kwa nguvu zako zote,akili yako yote na moyo wako wote. Jipende mwenyewe kama unavyompenda Mungu. ( Yaani Mungu hataki uharibikiwe unampompenda Yeye.) Kwa hiyo jipende mwenyewe kama unavyompenda Mungu. Sasa what have you got against that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…