mashine za kukata majani ya mifugo zinaanzia 2.5mMashine ya kukatia majani ya mifugo bei ngapi? Weka na picha
Hii mashine ni tofari za udongo tu bila cement mkuu au? Bei gani kwa hii mashine?okoa gharama Kwa kuipata mashine ya Tofali za udongo interlocking machine
0762612213 View attachment 1039631View attachment 1039634
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,Hio ni mnazotengeneza wenyewe?na kama ni za nje ni bei hiyohiyo?
Upo ndugu yangu nakukumbuka kutoka kipigo kitakatifu kutoka kwa PM kundi la Jsm
Asante,Hio ni mnazotengeneza wenyewe?na kama ni za nje ni bei hiyohiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa
Hp ngapi dizel injinMashine ya Kokoto ikiwa site 12m uwezo wake tone 12-15 Kwa saa unatengenezewa Kwa oda malipo ya awali robo tatu 75% View attachment 1038891View attachment 1038894
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila kitu kina sheria zake NEMC wanaongoza wanyama? Ukiogopa hutafanya fuata sheriaHizo mashine za chaki huogopi kugombana na watu wa NEMC? watu siku hizi wanahamia digital!