Wengi Wanashindwa kujua wapi ataipata mashine imara Kama ni miongoni Pitia Hapa

Tofali za interlock
IMG-20200806-WA0004.jpeg
 
Mkuu Kwa sasa bei zake ni million kumi na nane kama utataka iwe full yaani heater Zeke na filter zake pia inakuwa na tank mbili

Machine ya alizeti nakushauri sio ya kukurupuka ni kutulia
Samahani unaweza kunitumia picha ya mashine yako yenye uwezo mkubwa ikiwa kamili pamoja na specs zake kamili,whether it’s imported or locally made.
 
Mkuu, UMESHATAPELI WATU HUKO? Hizi namba 0659567058 mbona hazipatikani muda wote? Hizi biashara za waswahili changamoto sana.
Hapana mkuu ni project ilikuwa ya muda mrefu mazingira yake network husumbua ila ipo hewani karibu ofisi zipo uwe huru ndugu
 
Hivi kwann ukiangalia mashine ya kibongo na ya nje unajua tofauti hata kwa picha tu??
Yani unaona kabisa hii ni University na hii ni Shikamoo mwalimu.
 
Hivi kwann ukiangalia mashine ya kibongo na ya nje unajua tofauti hata kwa picha tu??
Yani unaona kabisa hii ni University na hii ni Shikamoo mwalimu.
Mkuu swali lako ni General sana ila kiufupi wenzetu kwenye technology wapo juu
Mashine za finishing anakuwa nazo nyingi
Kwetu pia mitaji ni tatizo

Mashine moja inapitia process zaidi ya 10 na kwa mashine tofauti tofauti
Lakini huku unatengeneza mashine ukijitahidi sana imepita process tatu
 
Baada ya kupata mashine ya kukoboa mpunga kwa kuumenya je vipi kuhusu mashine ya kugrade mchele ipo na kama ipo ni bei gani na vipi uwezo wake wa kazi ni kg ngapi kwa saa
Hizi zipo boss iwe kutoka nje au za hapa kwenye kiwango itategemea hitaji lako wewe karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom