Najidakia:UNAHITAJI MASHINE TUNAPOKEA MALIPO KWA AWAMU

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,176
MAWASILIANO YETU 0659567058

Kama unahitaji kujiongezea kipato chako kwa kununua mashine kutoka kwetu
Kuanzia mashine za kutengeneza hapa hapa au mashine za kutoka China tulizo nazo dukani kwetu
Karibu Tumeanza kupokea malipo ya awamu yaani installment

ORODHA YA MACHINE TULIZONAZO

Mashine zote za bakery kwa wale wanaohitaji kuingia katika ujasiriamali huu muhimu
Note:
Watu sehemu za mjini kifungua kinywa asubuhi ni chai mkate/andazi HAPA PANA SOKO KUBWA SANAAAAAA

Mashine zote za miwa kuanzia za kutoka China au za kutengeneza hapa hapa kupitia site yetu iliyopo ubungo external tutakutengenezea mashine yako

Mashine zote za kusaga na kukoboa
Hapa pia pana soko kubwa sana maana ugali ndio chakula chetu kikuu njoo upate ushauri kwetu

Mashine zote za tofali kuanzia za udongo mpaka tofali za mchanga wengi wamezoea blocks

MASHINE ZA ICE CREAM NA CHOCKSTICK

Mashine zote za pea nut butter yaani kusaga Karanga na kuwa paste au unga

Mashine za mkaa mbadala pia unatengenezewa

INCUBATOR PIA TUNATENGENEZA

Mashine za kokoto na sabuni za miche tunakutengenezea
MASHINE NYINGI TUNAZIUNDA KARIBU KWA MASWALI AU OFISINI KWETU
0659567058
 
Mashine za kusaga
IMG-20200529-WA0000.jpeg
 
MAWASILIANO YETU 0762612213

0762612213
Mi nahitaji mashine ya kusongea ugali mkuu uaiuzaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nijuze bei za mashine za bakery. Namaanisha vifaa vyote vinavyohitajika ndani ya bakery ndogo tu ya baishara
 
Hivi vya Bei ya ndogo vya kupika mikate vinauzwaje!
Pitia hapa

Unahitaji kuanzisha bakery au mashine mojawapo katika bakery,mgahawa au hoteli hapa najidakia store unazipata inapatikana Ilala Dar es salaam
Simu 0659567058

Mashine zilizopo najidakia store
Oven list yake hii
1layer na tray 1&2 umeme 1300000
Na kwa gas 1900000

2layers na tray 4 umeme 2800000
Gas 3200000

3layers na tray 6 oven umeme 4000000 na gas 4200000

3layers na tray tisa hii ni pana sana umeme 6.8m na gas 7.6m

Displays

Hizi zipo aina tofauti
Zipo millioni 4
Millioni mbili na laki nane

Juice dispensers

Tray mbili 950000
Tray tatu 1400000

Mixers

Cake mixer 2.5kg hizi laki saba tu
Cake mixer 8kg 1.3m
Cake mixer 12.5kg 2m
Cake mixers 25kg 4.8m

Spiral mixers 12.5kg 2m
Spiral mixers 25kg 4.5m
Spiral mixers 50kg 9m
 
Naomba nijuze bei za mashine za bakery. Namaanisha vifaa vyote vinavyohitajika ndani ya bakery ndogo tu ya baishara
Huwa inategemea ndugu yangu hizi hapa baadhi

Unahitaji kuanzisha bakery au mashine mojawapo katika bakery,mgahawa au hoteli hapa najidakia store unazipata inapatikana Ilala Dar es salaam
0659567058

Mashine zilizopo najidakia store
Oven list yake hii
1layer na tray 1&2 umeme 1300000
Na kwa gas 1900000

2layers na tray 4 umeme 2800000
Gas 3200000

3layers na tray 6 oven umeme 4000000 na gas 4200000

3layers na tray tisa hii ni pana sana umeme 6.8m na gas 7.6m

Displays

Hizi zipo aina tofauti
Zipo millioni 4
Millioni mbili na laki nane

Juice dispensers

Tray mbili 950000
Tray tatu 1400000

Mixers

Cake mixer 2.5kg hizi laki saba tu
Cake mixer 8kg 1.3m
Cake mixer 12.5kg 2m
Cake mixers 25kg 4.8m

Spiral mixers 12.5kg 2m
Spiral mixers 25kg 4.5m
Spiral mixers 50kg 9m

Vitu muhimu katika bakery

Mixer
Oven
Proofer
Slicer
 
Back
Top Bottom