Wengi Wanashindwa kujua wapi ataipata mashine imara Kama ni miongoni Pitia Hapa

Watu Wengi wanasumbuka kuzipata mashine imara na kupitia hili wafanyabiashara wamekuwa chanzo cha kuwapiga pesa zao.(SAVE KWANZA HII NAMBA YETU 0762612213 SMS/CALLS)

ENDELEA!!!!!!!
Kutokana na hiki kilio cha Wengi SISI KAMA WAJASIRIAMALI TUNAJUA UGUMU UNAOPATA KUITAFUTA PESA YAKO HALAFU UNAPATA KISICHO BORA Wapo waliopigwa humu wengine wametufuata wengine kilio cha kimya kimya poyeeeeeee!!!!!!


Tunaendesha karakana mbili Kwa hapa Dar es salaam moja Ubungo external na nyingine vingunguti Japo tumebase sana na Ubungo external
mashine tunazozalisha ni hizi-

-Mashine za Kusaga na kukoboa aina zote
-mashine za Tofali aina Zote mpaka Tofali kumi Kwa wakati mmoja
-mashine za juice ya miwa kuanzia za umeme na mafuta pia za vibanda
-mashine za Sabuni hapa Zote za mche na maji
-mashine za Kokoto Kwa uwezo wako
-Mashine za katani kuzifunga katika piles
-mashine za uchenjuaji wa dhahabu ball mill machines
-Motor mbali mbali Kwa uwezo wako mpaka 200hp zipo
-mashine za kutengeneza vyakula vya mifugo
-mashine za kukamua na kuchuja mafuta ya Alizeti
-mashine za pea nut butter
-mashine za Kuchana na kuranda mbao
-mashine za chaki
-mashine za kupukuchua mahindi
-Mashine za kukoboa mpunga
-mashine za kukata majani

MASHINE NYINGI TUNAWEZA KUZITENGENEZA UNAWEZA KULETA WAZO LAKO

Mchanganuo wa kila Mashine

MASHINE ZA KUSAGA NA KUKOBOA

*MASHINE ZA KUKOBOA NA KUSAGA NAFAKA KAVU (zinazotumia umeme 3phase)*

*VINU VYA KUSAGA;*
*KG250 (kwa saa) - 1,800,000*
*KG500 (kwa saa) - 2,800,000*
*KG750 (kwa saa) - 3,500,000*
*KG1,000 (kwa saa) - 4,000,000*

*VINU VYA KUKOBOA;*
*KG500 (kwa saa) - 2,800,000*
*KG750 (kwa saa) - 3,500,000*
*KG1,000 (kwa saa) - 4,000,000*


*MASHINE ZA KUKOBOA NA KUSAGA NAFAKA KAVU (zinazotumia mafuta "diesel")*

*VINU VYA KUSAGA;*
*KG250 (kwa saa) - 2,400,000*
*KG500 (kwa saa) - 3,300,000*
*KG750 (kwa saa) - 3,800,000*
*KG1,000 (kwa saa) - 4,500,000*

*VINU VYA KUKOBOA;*
*KG500 (kwa saa) - 2,400,000*
*KG750 (kwa saa) - 3,800,000*
*KG1,000 (kwa saa) - 4,500,000*
*Mashine zote zipo (kamilifu) mota, kinu & reli.*

MASHINE ZA KUKAMULIA JUISI YA MIWA

*Yamkono (manual) - TZs 700,000*
*Yaumeme - TZs 1,600,000*
*Yamafuta - TZs 1,700,000*
*Yaumeme & mafuta - TZs 2,000,000*

*Yaumeme (hii ina kibanda kikubwa & matairi) - TZs 2,300,000*
*Yamafuta (hii ina kibanda kikubwa & matairi) - TZs 2,450,000*
*Yamafuta & umeme (hii ina kibanda & matairi ) - TZs 2,850,000

Mashine za pea nut butter kuanzia 1.8m
mashine za kuchana Mbao 2.8m

MASHINE ZA TOFALI

Mashine ya Mkono 500000
mashine ya umeme Tofali moja 2.5m
mashine ya umeme Tofali mbili 2.7m
mashine ya Tofali nne million 12
mashine ya Tofali 8
Mashine ya Tofali 10

[/b]Hizi ni mashine Kwa wazalishaji wakubwa[/b]
mashine ya Tofali 8
Mashine ya Tofali

Mixer za kuchanganyia

nusu mfuko 3.5m
robo tatu 4.7m
mfuko mzima 5.8m

MASHINE ZA SABUNI ZA MICHE

Hizi tunazitengeneza Kwa oda Million kumi na tatu uwezo wake miche 200 Kwa saa ikiwa na mixer yake yenye ujazo Lita 300
pamoja na vitu vyake vyote

Zipo Kubwa zaidi Kutokana na uhitaji wako

MASHINE ZA KUSAGA KOKOTO

mashine ya Kusaga Kokoto tunazitengeneza Kwa oda kuanzia million 14m inatoa Kokoto Kwa size tofauti ukitaka na conveyor na vingine vya ziada karibu pia

Mashine za chaki kuanzia 1.2m chaki 100

Mashine za kuchanganya vyakula vya mifugo kuanzia 6m

MASHINE ZA KUTOKA NJE ZITAKUWA NA UZI WAKE chini ya njaidakia store





Mashine zaidi tutazidi ku updates

Mashine mbalimbali tuone 0762612213 machines mbalimbali
Mnazo mashine za ku pack. Yaani mkanda wa packets unaweka vitu na zinabana packets tayari kwa kuuza.
 
Kuanzia mayai 100 mnauzaje size hiyo incubator
* TUNAHUSIKA NA UTENGENEZAJI WA INCUBATOR ZENYE VIWANGO BORA TANZANIA*

Mayai 30 Tsh 400,000
Mayai 60 Tsh 450,000
Mayai 90 Tsh 500,000
Mayao 120 Tsh 700,000
Mayai 180 Tsh 800,000
Mayai 240 Tsh 900,000
Mayai 264 Tsh 1000,000
Mayao 352 Tsh 1,200,000
Mayai 440 Tsh 1,400,000
Mayai 528 Tsh 1,750,000
Mayai 704 Tsh 1,850,000
Mayai 880 Tsh 1,900,000
Mayi 1056 Tsh 2,100,000
Mayai 1408Tsh 2,650,000
FULL WARRANTY 1 YEAR

TUPO DAR ES SALAAM
 
* TUNAHUSIKA NA UTENGENEZAJI WA INCUBATOR ZENYE VIWANGO BORA TANZANIA*

Mayai 30 Tsh 400,000
Mayai 60 Tsh 450,000
Mayai 90 Tsh 500,000
Mayao 120 Tsh 700,000
Mayai 180 Tsh 800,000
Mayai 240 Tsh 900,000
Mayai 264 Tsh 1000,000
Mayao 352 Tsh 1,200,000
Mayai 440 Tsh 1,400,000
Mayai 528 Tsh 1,750,000
Mayai 704 Tsh 1,850,000
Mayai 880 Tsh 1,900,000
Mayi 1056 Tsh 2,100,000
Mayai 1408Tsh 2,650,000
FULL WARRANTY 1 YEAR

TUPO DAR ES SALAAM
Incubators
IMG-20200614-WA0012.jpeg
 
Mkuu nipatie bei ya kukamua na kuchuja mafuta ya alizeti
Hii kutokana na gharama zake kuwa kubwa za utengenezaji kwa sasa ni million kumi na nane ikiwa na uwezo wa kukamua gunia tano kwa saa na kuzichuja kubwa yake gunia kumi kwa saa na hizi machine ni pamoja na heater

Mafuta yake safi kama haya
IMG_20200708_162804.jpeg
 
Machine za tofali imara na bora zenye kuzingatia ubora wa mota na bati zinazotumika
 
Mkuu nipatie bei ya kukamua na kuchuja mafuta ya alizeti
Mkuu Kwa sasa bei zake ni million kumi na nane kama utataka iwe full yaani heater Zeke na filter zake pia inakuwa na tank mbili

Machine ya alizeti nakushauri sio ya kukurupuka ni kutulia
 
Habari. Hongereni sn kwa kazi nzuri. Mnayofanya ni mchango mkubwa ktk kuleta maendeleo nchini. Mbarikiwe sn.
Je, mnatengeneza printers zile za kuprint mifuko ya safleti inayotumika ktk packing ya unga, mchele nk?
Mfano kama hii ktk picha View attachment 1524834
Asante sana mkuu tunaweza kukutengenezea japo kuna baadhi kutokana na gharama zinapokuwa juu tunakushauri ni vizuri ununue china

Ila ukihitaji tukufanyie mfumo automatically kuanzia kusafisha mpaka kuyasaga mahindi yako na kuifanya packaging linawezekana vizuri
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom