Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

hahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi

Heh umetisha mkuu,, hiyoo ‘complicated“ wenyewe wanasema unaua kimya kimya,,,
Wanao jifanya masingle wengi ni ma plural tuuu,,,
 

Kiongozi hiyo Avatar vipi?
 
Kaka kama umeshikwa mpaka huku JF uweke picha ya shemeji basi wahi haraka kwa sangoma ukalizimuwe hilo limbwata.
Matola acha hizo bhana,JF nani atanishika au mpaka tupeane id halisi tusomane mwenendo wa maisha,hamna mtu kushikwa bwana,hamna limbwata,limbwata iwe ya avatar tu mbona nyakati flani we lara 1 uliweweseka bhana ingawa unajifanya gangasta na hadcore humu(tuache bhana sitaki mention hata sijaweka alama ya @ ,maana ungekuwa mpole)
 
Last edited by a moderator:
Sitaacha kusema single hadi siku Pete ya Ndoa itapoingia kwenye kidole changu..

Afu sio kila kitu chakuanika kwenye mitandao.
 
Me am single but its because God is busy writing the best love story for me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…