Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

We acha kuhangaika na Info za watu wanazoweka hadharani. Sehemu yoyote kupata up to date info ni kazi.
Au ndo unataka ukipata mpenzi tu uende kwenye sosho network zote ukaaupdate. Ukipigwa chini ukaupdate tena?
aaaah we utakuwa mtoto wa mama
 

Haha Viol katika ubora wake
Kuna raha ya kuwa single bana utuwache
 
Last edited by a moderator:
aliyekuambia mtu single kicheche nani...au we ndio unaanza shule eeh
 
hahaaaa mbavu zangu wengine nyota za bundi 40+ hajazaa wala kupata mtu unakuta akipata game moja mwenzie kapokea afanyeje aandike in a relationship?
napendaga ile 'complicated' iko ki uwindaji hivi

Mbona kama uko so familiar hapa JF? Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…