Wengi walaghai

Wengi walaghai

Joined
Jul 21, 2013
Posts
44
Reaction score
14
Sijui ni mkosi nilionao au ni uamifu na mapenzi ya kweli niliokuanayo kwa mpenzi wngu ambae tumeachana bila hata mimi kufaham sababu maalum eti kisa kunikuta ninaongea na rafiki yangu wa kike ambae tumezoena kitambo na yeye pia anamfahamu,duuu yaani unawaka utafikili mbogo alie jeruhiwa kumbe kisa upate sababu ya kuachana na mimi kwa sababu umepata jamaa ambae ananizidi kipato?kumbuka maneno matamu uliokua ukiniambia tulipokuwa pamoja! but mapenzi sio pesa ukae ukifaham maana hata rafiki ako umemwambia kwamba mie ninapesa ya MAWAZO ,Kwa hilo mie cpingi lkn ndio iwe kisa cha kunitosa? Yaani umenifanya niwaone madem wote walaghai
 
Mwanaume sarawili wa nini namuunga dada huyo mkono si mlitaka mfumo dume nyie!
 
Pole,ongeza bidii ya kutafuta kipato,mapenzi gharama mkuu na mjini hapendwi mtu.
 

no money,no honey hujabaini tu?!!
tafuta mshiko kwa bidii uone kama hajakurudia hahaaa!!
 
Kwani huna mawasiliano yake mpaka ukosee sehemu ya kutuma sms? Enewei nikusaidie tu.....forward sms kwa x-girlfriend wa muhusika...........sms not sent. Pole yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom