Endangered JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 922 Reaction score 231 Apr 13, 2012 #41 Erickb52 said: Dah ni kweli nilikuwa sijui na hata nikifuaga huwa siifungui ng'oooo Click to expand... Ndo maana kinundu chake huwa hakitakati.
Erickb52 said: Dah ni kweli nilikuwa sijui na hata nikifuaga huwa siifungui ng'oooo Click to expand... Ndo maana kinundu chake huwa hakitakati.
bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,175 Reaction score 3,276 Apr 13, 2012 #42 umejuaje ? we mchawi nini ?
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 Apr 15, 2012 #43 Du! Mi mmoja wapo!
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Apr 15, 2012 #44 kama ni kufunga tai nafikiri nilitakiwa kuingizwa kwenye kitabu cha guinnes kwa kuwa na umri mdogo na kuweza kufunga tai. kifupi nilikuwa sishindwi na fumbo kwa hiyo tai niihesabu kama fumbo na sikulala mpaka nilipopata jibu.
kama ni kufunga tai nafikiri nilitakiwa kuingizwa kwenye kitabu cha guinnes kwa kuwa na umri mdogo na kuweza kufunga tai. kifupi nilikuwa sishindwi na fumbo kwa hiyo tai niihesabu kama fumbo na sikulala mpaka nilipopata jibu.
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Apr 15, 2012 #45 thanks soooo
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,111 Reaction score 34,943 Apr 16, 2012 #46 Rejao said: Mkuu siku nyingine ukileta post kama hii uwe kabisa unasema ni kwa hisani ya nani! Mfano hii ni kwa hisani ya Michuzi Blog MICHUZI: somo la leo: Jifunze namna ya kula kitanzi Click to expand... Mkuu umemstukia Ka copy na ku Paste? Vipi salama lakini mkuu rejao? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Rejao said: Mkuu siku nyingine ukileta post kama hii uwe kabisa unasema ni kwa hisani ya nani! Mfano hii ni kwa hisani ya Michuzi Blog MICHUZI: somo la leo: Jifunze namna ya kula kitanzi Click to expand... Mkuu umemstukia Ka copy na ku Paste? Vipi salama lakini mkuu rejao?