Wengi Mnashindwa kufunga hii kitu

kama ni kufunga tai nafikiri nilitakiwa kuingizwa kwenye kitabu cha guinnes kwa kuwa na umri mdogo na kuweza kufunga tai.
kifupi nilikuwa sishindwi na fumbo kwa hiyo tai niihesabu kama fumbo na sikulala mpaka nilipopata jibu.
 
Back
Top Bottom