Wengi Mnashindwa kufunga hii kitu

du mi bado sijaelewa, tai si mchezo
 
Kwa wale ambao wanatumia android mobiles (Sijui kwa upande wa apple) ingia market afu tafuta program inaitwa "HOW TO TIE A TIE" Kuna kila aina ya ufungaji tai.
 
Kwa wale ambao wanatumia android mobiles (Sijui kwa upande wa apple) ingia market afu tafuta program inaitwa "HOW TO TIE A TIE" Kuna kila aina ya ufungaji tai.

android wapi?? Wakati twishen iko hapo juu tena ya bureeeeeeeeeeeeeeee
 
Pamoja mkuu, tai kwenye kuifunga ilikuwa utata kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…