Wenger mtamtaka tu mwaka huu.

Wenger mtamtaka tu mwaka huu.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,301
Baada ya kukamilisha usajili wa stiker wa Real Madrid, Higuan Gonzalez , kocha wa Arsenal , Arsene Wenger amesema anataka kusajili striker wengine wawili, ambao ni Wayne Rooney wa Manu na Luis Suarez wa Liverpool. Wenger amepeleka Liverpool ofa ya Pauni Milioni 30 na Pauni Milioni 20 Man U kwa ajili ya kumnasa Rooney. Mashabiki wa Arsenal tuendelee kufunga na kuomba, ili usajili huu ukamilike.
IN ARSENE WE TRUST
 
Cra.p hakuna kitu kama hiyo, umesoma kwenye blog ya shafii dauda nini
 
Cjui sources gan umetumia mana cjaona hata moja inayosema kuna deal limekamilika,kauli ya perez: we dont want him to leave,man u nao rooney hauzwi,liver wamekataa £30m alizotoa wenger
 
Nyie ni watu wa kulia tu, naziona goli nane zileeeeeeeeeeeeeee!
 
Cjui sources gan umetumia mana cjaona hata moja inayosema kuna deal limekamilika,kauli ya perez: we dont want him to leave,man u nao rooney hauzwi,liver wamekataa £30m alizotoa wenger

Alichofanya Wenger ni sawa na mtu Una milioni mbili tshs halafu unaingia SHOW ROOM ya BMW unaulizia bei ya X6. Ingawa car dealer atakutajia bei but hawezi kukufukuza kwa kosa la kula kwa macho. Tumuache Wenger aendelee kula kwa macho maana kesho unaweza kusikia ameulizia Messi. Angeweka juhudi kuwabakiza akina RVP, Fabregas, Nasri...
 
Ndo shida ya kufanya usajili kwa shafi.
Hakuna mchezaji yeyote wa maana wamesajili...
Arsenal..majanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom