Wembe uliomnyoa Wassira watumika kwa Lowassa

Sidhani kama kuna ulazima wa wewe kuzungumza na EL kwani ulichosema kuhusu "sungura" siyo tu hakikumfurahisha bali kimetufanya sisi tunaofanya kazi karibu yake kuonekana hatuwezi kujibu hoja. Kila jumatano anataka kuhakikisha umesema nini kwenye makala yako na kama umemtaja.

Leo amefurahi kweli! kwani hukumng'ang'ania. Unajua wiki iliyopita mmoja wa wasaidizi wake alipiga simu Tanzania kulalamika juu ya wewe kumsakama sakama. Nashauri endelea kuwakomalia wengine, mpe ahueni kidogo Waziri Mkuu hasa wakati huu ambapo kama ulivyosema "ameachiwa nchi".

Asante.
 
Ni kutumia kaufundi ka Simba, ukiona mbaya wako damu zinaanza kutoka hapo ndipo pa kuongeza mashambulizi.

Mwanakijiji, usimwachie Lowasa maana yeye ndiye fisadi namba moja.
 
Mwanakijiji,

Safari hii iwe "muache kupenda vya bure"

Sasa wanaopenda vya bure ni wananchi au viongozi wanaofanya dhuluma dhidi ya wanyonge?
 
Sidhani kama kuna ulazima wa wewe kuzungumza na EL kwani ulichosema kuhusu "sungura" siyo tu hakikumfurahisha bali kimetufanya sisi tunaofanya kazi karibu yake kuonekana hatuwezi kujibu hoja. Kila jumatano anataka kuhakikisha umesema nini kwenye makala yako na kama umemtaja.

Leo amefurahi kweli! kwani hukumng'ang'ania. Unajua wiki iliyopita mmoja wa wasaidizi wake alipiga simu Tanzania kulalamika juu ya wewe kumsakama sakama. Nashauri endelea kuwakomalia wengine, mpe ahueni kidogo Waziri Mkuu hasa wakati huu ambapo kama ulivyosema "ameachiwa nchi".

Asante.

Usiwasikilize wezi wa hawa mafisadi na m*********. Hapa ni JF na ni kumkoma nyani giladi na nondo zinazotoka hapa zinawashikisha adabu taratibu taratibu, hakuna kulala mkuu. Nani ale sungura wakati wamenunua ng'ombe?
 
so.. are you serioud unataka kweli nifanye interview na EL?

Ningependa sana kusikia mazungumzo live ya 'Ndege inayopaa' ama kasungura. Mwanakijiji hebu tupe uhondo, mtafute EL uongee nae.
 
Mtanzania mbona naona kama unanichombeza hivi...?

Mwanakijiji,

Hujui madhara ambayo taifa litapata kama Lowasa ataachiwa kuchukua urais mwaka 2015. Inatakiwa kummaliza mapema kwa faida ya nchi yetu.

Ndio maana wengine tunapiga ngoma ndogo ndogo kuhakikisha vita na Lowasa inafanikiwa.
 
Mbeya sio kama Wasukuma ambao wanaswagwa kama ng'ombe na kuburuzwa na wajanja wachache.
 
Mbeya sio kama Wasukuma ambao wanaswagwa kama ng'ombe na kuburuzwa na wajanja wachache.

Shalom hii kitu unayo sema inamaanisha nini? Ina maana wasukuma ni watu wakuburuzwa? Kwani mbeya nako hamna wasukuma? au mbeya nini cha ajabu sana walichofanya hadi wao wawe wajanja kuliko wasukuma? Mkuu nadhani fikiria kidogo kabla ya kuandika.
 
Nilishasema once kwamba huyu jamaa anaitaji Finance 101. Wewe nani kasema kujegwana kwa viwanja vya mipira south kunaweza kuwa na effect kubwa kiasi cha price ya cement kupanda kwa more than 2% by weekly. What happen is Wazo hill, Tanga cement and Mbeya cement are monopolies, they control supply so then can hike price.

Haya makampuni yamekuwa yakilindwa na serikali ya CCM kwa political reasons, matokeo yake mtanzania analipa fedha nyingi sababu hana choices. This guy play politics while people are suffer.

Siku serikali ya Tanzania itakapo ruhusu competation on electricity, cement, landline phone, water supply and many others, all this big giant will face natural death, and that will be then end of price controlling.
 
au anadhani Kwsabau Jk kupewa kiwanja Mwanza ndio wasukuma ni watu wa ovyo?

mapinduzi yanakuja ,Tusiwabague watu kwasababu Jk alishinda kw akishindo katika kanda ya ziwa,Mbona hajawalamumu wana wa watanzania waliomvhagua Keenja wakati hajawapa kitu..]

Watu wa Mwanza walikuwa na haki ya kuchagaua CCM baada ya kutekelza sula la kujenga Barabara za mkoa wa Mwanza ambazo kwa muda mrefu zilikuwa Mbovu,Hongear mzee Mkapa.

Watu wa Mwanza wana haki ya kuwakataa Mafisadi na walishawakataa mno,Rejea ziara ya kijana zitto pale Mwanza maeneo ya mirongo ilvyojaza watu na walikubaliana naye kuwang'oa mafisadi.

Shaloom umetumwa na nani?tuache vita za kikabila tubadili fikra za watanzania wote..tukianza hivi tutashindwa kumkoma nyani giladi mchan kweupe.

Mgongano wa Kifra ndio umeanza
 
Mbeya hajaenda!! na bado wanamkubali, si waseme au wamtangaze raisi wao Mwandosya. Nasikia habari za Mwandosya kudondoka Jukwaani. kuna nini hapo?

JK juzi alikuwa BUZWAGI, mikoa ya MZ, SHY na Mara hakosi (hachezi mbali) kwa nini asiende BK?

Wanambeya akija huyo JK mshughulishe kama AKUKWETE.
 
Wanambeya akija huyo JK mshughulishe kama AKUKWETE.
kama unamfahamua aliyemshughulikia kikwete nitumie namba yake katika simu yangu +255 754 777777(namba ya Muungwan hiyo).

huyu tukimpata itakuwa rais hata kudeal nna watu kama karamagi
 
Halafu anasema cement imepanda bei kwa sababu viwanja vya mpira vinajengwa Afrika Kusini...jamani mfuko wa cement kwa Dar es salaam ni Tsh. 16,000 na zaidi kidogo...sasa mtu aliyeko Mwanza na Kagera ataununua kwa kiasi gani si itakuwa elfu 50 za Tanzania. Kwa kweli iko kazi sasa. Miaka 2 iliyopita mfuko wa cement ulikuwa kwenye 6,500 hadi 7,000 sasa sijui baada ya miaka 3 ijayo tutakuwa wapi...inasikitisha!!!!
 
nashangazwa na 'mheshimiwa' EL, anaeendeshwa pute na makala za gazetini.

na kwa nini makala hizo zimkune sana na zimuume kiasi cha kukosesha watu wake wa karibu raha kama makala hizo hazijagusa ndipo?

hii ni funzo kwa yeye na msanii mwengine yoyote kuwa, watanzania wanapima neno moja moja analolisema, na kama hakijui asemacho bas bora anyamaze inaweza kumsaidia kuliko kuropokwa yanayomponza kwa jamii
 
Anasema mkataba wa Buzwagi ni bora kuliko mikataba yote? Ni uleule tuliouona au ana mwingine?
Au ndo anaaply fani yake ya sanaa?
Yetu masikio kujua yatakayoendelea huko!
Thanx Mushobozi kwa makala ndefu!

Tumetoka mbali..
 
Jamani poor Lowassa huyu,
mambo anayotakaa kuongelea hasa hasa Buzwagi they are over,above and beyond his lazy brain,mtu kasoma Fine and Performing Arts majorng in traditional dancing halafu eti na yeye anadai mkataba ni safi...kwanzan anaongelea kwa ujumla tu,hawezi kuchambua kipengere kwa kipengere,anyway good job Mushobozi ila Lowassa hata tukimjadili vipi ule ni ubongo uliojilalia milele,hauwezi tena kufikiri na mbaya zaidi bado laana ya Baba wa Taifa (RIP) inamsumbua.By the way hivi huyu Lowassa aliongelea chochote siku ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa?
Leo hii unamlilia lowassa!
 
Back
Top Bottom