Wema wangu umeniponza nimefirisika na kukimbiwa na mke

A haha kwanza pole halafu cha pili tunaomba kujua kiwango chako cha elimu.Nina ubia kiukoo na wachagga asee sijawahi kuona mchaga anapigwa kizembe kama wewe?
Yani unatoa 15m kwa mdogo wako halafu anagoma kukuonesha biashara yake!mbaya zaidi hata kwenye kikao cha ukoo ukuomba evidence ya biashara zake like leseni nk mbele ya wanafamilia,hukuombq mkataba wa fremu.Ukashindwa kumbana dogo mbele ya kaka zako na wazee.Mwisho kabisa unaenda kuweka nyumba yako rehemani sababu ya ndugu na unajua kabisa anachezea fedha.Kama siyo uzembe huu bro
Nb.kumsaidia ndugu siyo ujinga bali ni HISANI wewe ni MZEMBE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom