Wema SEPETU

<iframe width="425" height="349" src="http://www.youtube.com/embed/9oISJIDCag8?rel=0" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
naweza kusema ni mrembo sana, na pia anajua lugha tofauti na wengine ambao havent=,huwa nyingi kuongea kiswahili hawataki wanajifanya wanajua lugha..
 
Be Blessed my daugher "Wema" - I miss Nuru and Mama Sepetu - say hi to them - kama utaonana nao
 
mrembo mwenye sifa za kubadilisha wanamume kila uchao,leo kapandishwa tena kizimbani kwa kosa linalokaribia lile la enzi zake na stivie kanumba,safari hii amemtusi prezidaa wa masharobaro!!! hivi wana jf ni umaarufu umemlevywa au ni sifa za kijinga na utoto?

source eatv news za saa 11 jioni ya leo
 
sio maarufu hata kidogo zaidi ya njaa!, UKIMSHUSHA Lyamba Lya Mfipa Hakuna mtu anaemjua WEMA.

Uliza jamaa anaitwa njaa, kila mtu anamjua!
 
mrembo mwenye sifa za kubadilisha wanamume kila uchao,leo kapandishwa tena kizimbani kwa kosa linalokaribia lile la enzi zake na stivie kanumba,safari hii amemtusi prezidaa wa masharobaro!!! hivi wana jf ni umaarufu umemlevywa au ni sifa za kijinga na utoto?

source eatv news za saa 11 jioni ya leo
Hivi hilo neno lina maana gani?. Naomba mwenye kufahamu maana yake anifahamishe~samahani wandungu sie wengine wavuvi tu humu!.
 
Hivi hilo neno lina maana gani?. Naomba mwenye kufahamu maana yake anifahamishe~samahani wandungu sie wengine wavuvi tu humu!.
kuna wanaume fulani hivii kama mwanamke ana akili hata kama za mende hawezi kuongea nao hata dk 5,maana mara wamelamba midomo,sijui wamefanya nini kichefuchefu kiujumla...
 
Wazazi wa Wema sepetu wanajutia kumruhusu kuingia kwnye miss tz kila siku kama asingeenda huko angekuwa mbali sana huyo binti asingekwenda mbagaraaaa
 
Back
Top Bottom