Wema SEPETU

Je mama yake ameolewa au alikuwa nyumba ndogo. Inawezekana mazingira aliyolelewa yanamfanya awe hivyo!

Mama yake ni mke wa pili kwa jamaa. Mzee Sepetu alioa mjerumani nafikiri waliachana ndo akawa na mama wema. Nisahihisheni kama si Sepetu huyu. Mtoto halfcast wa Kijerumani ninamfahamu, nafikiri atakuwa ujerumani (jina nimeficha kwa kuwa hahusiki hapa).
 
Amekanusha na amesema huwa haangalii nyuma,safi sana wema daima mbele nyuma mwiko

eti safi sana wema daima mbele nyuma mwiko...kweli shosti kapata shoga,inaonekana shoga zake wanaomshauri upuuzi ni kama wewe tu,so aendelee kusonga mbele tu? (kuwabadilisha)
 
Sio polisi wa siku hizi mazee, niliwahi kumuona mmoja mahakama ya kisutu, asee!! nilitamani anikamate ili niwe jirani yake!!!<br />
<br />
sema ni kubanwa na majukumu tu ama sivyo matembezi yangu yangekuwa kwenye mahakama hiyo kila siku!!!
<br />
<br />
 
1.JPG


nje ya mada:hivvi kwanini mipolisi inakuwa na sura za ajabuajabbu?hebu mcheki huyo njagu hapo akikudaka bila kitu kidogo hungoki hata kama huna kosa

Wakivaa kofia zao zile wanakuwa afadhali.
 
Mama yake ni mke wa pili kwa jamaa. Mzee Sepetu alioa mjerumani nafikiri waliachana ndo akawa na mama wema. Nisahihisheni kama si Sepetu huyu. Mtoto halfcast wa Kijerumani ninamfahamu, nafikiri atakuwa ujerumani (jina nimeficha kwa kuwa hahusiki hapa).
Zamani Wema alikuwa jirani yangu kabla ya kuchipukia, na alikuwa bomba toka kipindi akiwa mtoto mdogo sana, mama yake tulikuwa tunamwita Bi Benz kwa sababu alikuwa anaendesha mabenz tu wakati huo, na Dingi alikuwa balozi Jamhuri ya Kongo(Zamani Zaire) na ni mzenji na mke wake wa kwanza yupo Zenji, Lkn sasa hivi mzee wake anasumbuliwa na visukari yupo huko Zenji ndio maana Wema alipoteza uelekeo kitambo kwa sababu ya dingi kuvulia na kuandamwa na magonjwa ya kizee.
 
she is beautiful and media makes money out of her. she is news to the media. she makes headlines. ni kwa magazeti ya udaku!
 
Loooooooo jamani mijuha ipo mingi bado tu hajastuka kama huyo mrembo wenu kapagawa. lakini sijambo la ajabu mana wanao mchukuwa ni majuha kama yeye mtu naakili zake hawezi kuwa na mwanamke kama choo cha kulipia wakuu sio rahisi kwa rijali kutembea na Binti sepe2 niaibu huwezi hata kumchukuwa kwa rafiki zako au ukiwanae ukamuona mshkajin wako inabidi usepe kwa kuona nishai asijekuonanae. jamani wenyemawazo yakumpata nawasihi kuna mesali inasema ukimuona juha mkimbie kazi kwenu mana wa2 humu wameuliza kam mtandao unafanya kazi wajirushe poleni mtavunja heshima zenu
 
Ole wa tumbo lile lisilo beba mimba kwani halitajua uchungu wa mtoto.:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom