Diamond anaelekea kuchuja sijui atahamia kwa 20%?
Hivi hilo neno lina maana gani?. Naomba mwenye kufahamu maana yake anifahamishe~samahani wandungu sie wengine wavuvi tu humu!.mrembo mwenye sifa za kubadilisha wanamume kila uchao,leo kapandishwa tena kizimbani kwa kosa linalokaribia lile la enzi zake na stivie kanumba,safari hii amemtusi prezidaa wa masharobaro!!! hivi wana jf ni umaarufu umemlevywa au ni sifa za kijinga na utoto?
source eatv news za saa 11 jioni ya leo
kuna wanaume fulani hivii kama mwanamke ana akili hata kama za mende hawezi kuongea nao hata dk 5,maana mara wamelamba midomo,sijui wamefanya nini kichefuchefu kiujumla...Hivi hilo neno lina maana gani?. Naomba mwenye kufahamu maana yake anifahamishe~samahani wandungu sie wengine wavuvi tu humu!.