ramzoukawa
Member
- Feb 20, 2017
- 41
- 13
Tasnia ya Movie hapa bongo imeingia doa pale niliposikia kua nguli huyo wa Bongo Movie amekihama chama chake cha awali CCM na kwenda chama cha CHADEMA, binafsi yangu sijapata mashiko katika hili na kujiuliza maswali Je, ndugu yangu Wema amelifikiri vema kukihama chama chake cha CCM haswa katika kipindi hiki kigumu kwake na amefikiri vema kuhamia chama cha CHADEMA ama nikutafuta uvungu wa kujificha?