ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Baada ya Jokate kuula UVCCM, ni wazi kabisa uteuzi wa Jokate huko lengo lake ni kumuumiza Wema Sepetu. Wema alikuwa kada mwenye kukijua na kukitumikia chama kwa muda bila hata ya kuwa na cheo chochote chamani.
Lakini baada ya yeye kuhamia CHADEMA, CCM imeamua kumpa Jokate nyazifa ili imuumize wema kwani kwa sasa Wema hana kazi mjini na hii ni kufiatia kusuasua kwa bongo movie.
Napenda kutoa rai yangu kwa BAWACHA, BAVICHA na CHADEMA kwa ujumla wake
Mpeni Wema kazi yoyote chamani kwenu huko ili nayeye asijutie kuvaa gwanda
kwani uteuzi wa Jokate umekuja kwa lengo la kumdhoofisha.